Nini Faida na Hasara za kufumania? Je kuna umuhimu wa kwenda kufumania?

sitasahau nilimfumania mume wangu uchi na mwanamke niliambulia kipigo cha maana had nikapoteza ujauzito wa miez 5.nilimfatilia kwenye cm yake had nkajua hotel waliomo. nilimsamehe tukaendelea., had nikakaa miaka 4 bila kubeba mimba ingne,nashukuru mungu mwaka huu nilibahatika nategemea kujifungua muda wowote. Tangu siku ile hata nisikie ama kuona hata wawe wananjunju nyuma ya nyumba yangu sitasogea kamwe na wala cjawah kugusa cm ya mume wangu na ninajickia amani sana.
 
inategemea, kama hilo ni tukio la mara ya kwanza na unamwamini sana mme wako lazima utaenda kuprove kama yanayosemwa ni kweli au uzushi, lakini kama unajua mme wako hajatulia, it doesnt make sense kwenda huko
 
sheria ya dini ukienda na kuona kweli basi unaruhusiwa kumacha mme au mke mzinzi lakini kisela utataka kulipiza ndipo utakapo ua kabisa..

ukifumania achana nae ya nini mawazo..

Dini gani hiyo? Kama ni ya kikristo soma maandishi na uyaelewe.
 
Kama ni mkeo au mumeo umekaa nae si chini ya mwaka na kuendelea then mtu akamchukua kwa masaa tu kwanini roho ikuume na kwenda kufumania,?:becky:maadamu handoki nayo just relax tu atarudi nayo home ile maneno na wewe utaipiga:shut-mouth:
 
Umeona mkuu, mi nitaenda kucheki ile staili aliyomkunja na mimi niwe namkunja hivyohivyo. Tena akimalizana nae tu na mimi namwambia nataka mzigo.
 
kama alikuwa anam-tigo na wewe utaiulizia? au utaishiwa nguvu ushindwe hata kutembea.
 
Ila na hawa wanaopenda kupigia simu wenzao sijui huwa wanawaza nini maana vitu vingine anatakiwa mhusika mwenyewe avishitukie kwani unaweza ukampigia mtu simu bado ukawaona wapo pamoja baadae na bado uliempigie akakutaja kwa mke wake kwamba flani ameniambia.
Walimuua meneja wa kiwanda cha sabuni(foma) walimpigia simu wakamwambia mkewe anapigwa mtungo. Alipofika eneo la tukio anakuta mke kitandani hoi kinyesi kimetapakaa kwenye mashuka(walitumia na kule siko) kuona hivyo mzee wa watu kadondoka ghafla, peleka hospitali hajitambui akakaa siku mbili bila fahamu akafariki. It was so sad.
 
Faida za kwenda ni
1: kuhakikisha pasipo shaka
2: kukusaidia kufanya maamuzi magumu (kumuacha)

Hasara za kwenda ni
1: uwezekano wa Hasira usizoweza kuzihimili
2: maumivu makali moyoni
3: huwezi jidanganya tena hivyo unaweza lazimika kumuacha mwenzio hata kama bado unampenda
 
Duh!!!!!
Na kipindi chote cha kutafuta mtoto hakifeel guilty? Aisee, sijui nikupe pole au hongera, chagua unayoitaka!
Cc: gfsonwin, lara 1, Mtambuzi

sitasahau nilimfumania mume wangu uchi na mwanamke niliambulia kipigo cha maana had nikapoteza ujauzito wa miez 5.nilimfatilia kwenye cm yake had nkajua hotel waliomo. nilimsamehe tukaendelea., had nikakaa miaka 4 bila kubeba mimba ingne,nashukuru mungu mwaka huu nilibahatika nategemea kujifungua muda wowote. Tangu siku ile hata nisikie ama kuona hata wawe wananjunju nyuma ya nyumba yangu sitasogea kamwe na wala cjawah kugusa cm ya mume wangu na ninajickia amani sana.
 
Last edited by a moderator:

aisee, yaani unamfumania afu anakupiga hadi mimba inatoka. Then unamsamehe, na unampa utamu hadi inaingia mimba mpya? Kwa kweli wewe mbinguni itaingia. Kufumania naweza samehe, ila kupigwa!
 
Duh!!!!!
Na kipindi chote cha kutafuta mtoto hakifeel guilty? Aisee, sijui nikupe pole au hongera, chagua unayoitaka!
Cc: gfsonwin, lara 1, Mtambuzi
Kaunga i once said here kwamba kumfumania hubby kwangu mm nitasamehe, ingawa nitamuuliza na nilazima ataregret kwa aliyoyafanya juu yangu. ila sitokaa nimvumilie mwanaume anayenipiga kamwe, unanipiga hadi nina ms-carry halafu nakusamehe??

uwiiiiiiiiii nashukuru kwamba sio mm, najijua mie ni mkali sana na nina mambo makuu mawili ambayo siwez kuyafumbia macho KUPIGWA na UFUJAJI WA MALI.

ila pia kwa mtu kama huyu dada inaelekea kabisa yeye ni mwoga sanaaaa kule kuliko pitiliza ndo mana, ila nagekuwa jasiri mwanaume ukimfumania anajiuliza mara saba saba nitarudi nyumbani leo?? manake anajua huko patachimbika na hakuna jinsi ambavyo moto hautawaka. yaani unapaswa kish na mwanaume hata akicheat aahofie hivi mke wangu akijua itakuwaje??
 
Last edited by a moderator:
sitasahau nilimfumania mume wangu uchi na mwanamke niliambulia kipigo cha maana had nikapoteza ujauzito wa miez 5.nilimfatilia kwenye cm yake had nkajua hotel waliomo. nilimsamehe tukaendelea., had nikakaa miaka 4 bila kubeba mimba ingne,nashukuru mungu mwaka huu nilibahatika nategemea kujifungua muda wowote. Tangu siku ile hata nisikie ama kuona hata wawe wananjunju nyuma ya nyumba yangu sitasogea kamwe na wala cjawah kugusa cm ya mume wangu na ninajickia amani sana.
pole sna kwa uwoga wako huu.
next time atamleta ndani mwako na uambulie tena kipigo manake utaogopa kuvumilia machungu.
 
sitasahau nilimfumania mume wangu uchi na mwanamke niliambulia kipigo cha maana had nikapoteza ujauzito wa miez 5.nilimfatilia kwenye cm yake had nkajua hotel waliomo. nilimsamehe tukaendelea., had nikakaa miaka 4 bila kubeba mimba ingne,nashukuru mungu mwaka huu nilibahatika nategemea kujifungua muda wowote. Tangu siku ile hata nisikie ama kuona hata wawe wananjunju nyuma ya nyumba yangu sitasogea kamwe na wala cjawah kugusa cm ya mume wangu na ninajickia amani sana.
Aiseee pole sana yaan unamoyo wa ZEGE si kidogo etiiii...._nafumania unadundwa,unapoteza mtoto kwa ajili ya umalaya wa mume,then umerudi na kusamehe aiseeee hongera sana sana...mm ningekua nasomeka kwetu looooong time aisee
 
Yaani imeniuma sana kwakweli, unapigwa hadi mimba inatoka kwa kosa alilofanya yeye...... ni ngumu kumeza; but again kiatu nisichokivaa siwezi jua comfortability yake.

Back
Top Bottom