Nini faida na hasara za gari aina ya Toyota Premio kwa engine za D4?

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,471
23,744
Wife toka last week anataka nimnunulie Toyota Premio ya 2007. Nimeiangalia hii gari engine yake ni 1990 CC, D4.

Kuna kipindi mafundi wengi walikuwa wanaziogopa sana engine za D4. Je, wadau mnafahamu nini uzuri au ubaya wa engine hizi?

Na pia katika suala la fuel consumption hizi gari zikoje? Maana najua dereva yeye ila mnunuzi wa fuel nitakuwa mimi kama kawaida ya wake zetu, though naye anaenda kazini kama mimi.
1589544069670.png
 
Mimi binafs nakushaur mchukulie yenye engine 1nz ambayo ni cc 1490 kama sikosei,,kimuonekeno hazina utofauti saana kama sio mdadisi ila kama n mdadis atagundua kwenye taa za nyuma.

Hiyo gari ni nzuri sana na ulaji wake wa mafuta n mzuri mno! Mimi ninayo mwaka wa 3 saizi japo ni ya 2005 napeta nayo kwa raha! Mfano kutoka Dar had Mbeya Tukuyu natumia mafuta yasiyozid 150k. Niko tayari kukosolewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wife toka last week anataka nimnunulie Toyota Premio ya 2007. Nimeiangalia hii gari engine yake ni 1990 CC, D4.

Kuna kipindi mafundi wengi walikuwa wanaziogopa sana engine za D4. Je wadau mnafahamu nini uzuri au ubaya wa engine hizi?...
D4 uganda.JPG

Mzee Baba, kuna jamaa aliandika makala kuhusu D4 hapo Uganda, hebu ifwate link uipitie kidogo,

Nashukuru Mwambyetete. Kwa matumizi ya mjin lita moja inatumika kwa kms ngapi? Mkoani vipi speed yake?ina nguvu?

Mimi binafs nakushaur mchukulie yenye engine 1nz ambayo ni cc 1490 kama sikosei,,kimuonekeno hazina utofauti saana kama sio mdadisi ila kama n mdadis atagundua kwenye taa za nyuma.
Hiyo gar n nzur saaana na ulaji wake wa mafuta n mzur mno! Mm ninayo mwaka wa 3 saiz japo ni ya 2005 napeta nayo kwa raha! Mfano kutoka dar had mbeya tukuyu natumia mafuta yasiyozid 150k. Niko tayar kukosolewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nmemsoma.ni kweli hizi engine zinataka nidhamu sana.

Mzee Baba, kuna jamaa aliandika makala kuhusu D4 hapo Uganda, hebu ifwate link uipitie kidogo,

Ki ukweli mjini inaweza fika km 10 nadhan kwa lita,kwa upande wa speed ziko vizur saaana japo kwenye milima zina nguvu kulingana na uwezo wake lakin ikiishika tambalale utaipenda!! Kwa kifup ni nzur na kama vip chukua premio x yenye cc 1750 au G yenye cc 19.. hapo sikumbuk vizur hizo mbili zina engine kubwa kidogo japo zote ni four!!

Kikubwa ujue premio zina ukubwa wa engine aina tatu,premio F-cc 1490, premio G1980 na premio X-cc 1790 ko ni wew ipi inayokufaa!! Mm natumia Package F
Nashukuru Mwambyetete. Kwa matumizi ya mjin lita moja inatumika kwa kms ngapi? Mkoani vipi speed yake?ina nguvu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ki ukweli mjini inaweza fika km 10 nadhan kwa lita,kwa upande wa speed ziko vizur saaana japo kwenye milima zina nguvu kulingana na uwezo wake lakin ikiishika tambalale utaipenda!! Kwa kifup ni nzur na kama vip chukua premio x yenye cc 1750 au G yenye cc 19.. hapo sikumbuk vizur hizo mbili zina engine kubwa kidogo japo zote ni four!!
Kikubwa ujue premio zina ukubwa wa engine aina tatu,premio F-cc 1490, premio G1980 na premio X-cc 1790 ko ni wew ipi inayokufaa!! Mm natumia Package F

Sent using Jamii Forums mobile app
Vp zile G 1980 za valvematic engine consuption yake ikoje town
 
Unajua kiuhalisia mpaka ikifika kipindi injini ya gari inahitaji kuchokonolewa na fundi basi ni wazi kiwa gari yako imeshachoka. Ukinunua gari mwenyewe toka Japan na ukawa unaitunza vizuri kwa service za uhakika na kwa wakati, basi huna haja ya kuhofia hiyo D4, hautahitaji fundi wa kuigusa.
 
Back
Top Bottom