Nini faida, manufaa, na majukumu ya vyama vya wafanyakazi nchini?

comrade igwe

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
7,295
3,939
Wanajamvi amani iwe kwenu,

Nimekua nikijiuliza uwepo wa hivi vyama vya wafanyakazi na faida yake na hii michango wanayokatwa watumishi wa sekta tofaouti na kupelekwa Tucta, au kwenye vyama husika, ninavyojua vyama vya wafanyakazi kazi nchini nyingine hasa uingereza na Marekani vina nguvu sana, nia yao ni kuboresha maslahi ya watumishi kwa kuishauri serikali na taasisi husika, lakini vyama vya wafanyakazi Tanzania naona vipo vipo tu wanasubiri makato ya wafanyakazi wajineemeshe na kuwaaacha wafanyakazi wakitaabika.
 
Back
Top Bottom