Nini Dhana ya Usaliti katika Vyama vya Siasa

Ufipa-Kinondoni

JF-Expert Member
Jan 3, 2012
4,582
2,783
Ni dhana tu!!!!!

Ina wezekana kabisa hakuna kitu kinaitwa usaliti katika siasa. Ila tamaa ndio ya madaraka ndio huzaa fikra za usaliti.

Shetani alianza kufukuzwa na Mungu Mwenyezi baada ya kutaka awe mungu. Alipotamani Kiti cha Enzi aliporomoshwa duniani baada ya kushindwa vita na Mlaika watiifu wa Mungu. Inajulikana shetani alifuatana na kundi kubwa la malaika watiifi kwake na baado ndo wanatafuna dunia hii baada ya kujimilkisha.

Hii imeendelea kama tunavyoona katika taifa letu. Tunaweza kuwa na orodha kubwa sana ya watu waliofukuzwa chama au kuvuliwa madaraka katika siasa za Tanzania kwa dhana ile ile ya uchu wa madaraka.

Katika muongo uliopita, CHADEMA na viongozi wake wameongoza kutumia neno usaliti katika kufanya maamuzi waliyoona yanaleta tija katika chama. Kuna wengi sana. Kunzia Wangwe hadi ZZK. Pia wapo viongozi wasioweza kutajika katika ngazi ya wilaya na kata waliofukuzwa uongozi hata uanachama kwa kuwa ni wasaliti.

Hii sasa tumeona CCM wakidakia yale yale. Usaliti. Ingawa historia inaonyesha Mwl. Nyerere aliitumia hii dhana kama Uhaini na kuwafukuza watu katika CCM. Mfano ni Maalim Seif na wengine. Sahizi tena, wengine wameshushwa vyeo na wengine uanachama. Je hili litaishia hapa au ni zaidi ya hapa.

Je ni kweli kuna usaliti katika vyama?
 
Tamaa ya kuongoza ni usaliti kubadili katiba ili ikulinde wewe ni usaliti hapa kwetu Tanzania wanasiasa ni wasaliti wa tamaa ya uongozi ndo maana hubadili katiba iwalinde
 
Zana ya usaliti inaibuka pale unaposema unatii uongozi harali arafu katika vitendo vyako vinaupinga / vinaugomea uongozi uliombele yako nkupe mifano 2
Kwanza yuda iskalioti alisema no mwanafunz mtii wa yesu then kwa vitendo akamkamatisha yesu kwa wayahudi (usaliti huo)
Mfano 2
Akina sophia na chimbi waliapa kwa katiba y ccm kulinda maslai mapana ya nchi sio maslai ya mzee lowassa asikatwe jina walipogomea vikao uo ukawa usaliti kwa chama wamestaili hadhabu
 
Back
Top Bottom