Pole sana! Umejuaje kama una hiyo Perinal Vistula? kama umepimwa huko ulikopata majibu watakuwa na uelewa zaidi. Hata hivyo endelea kusubiri kuna wataalam humu wanaweza kukupa msaada.
Sio vibaya ukatueleza inakuwaje na sisis tukaijua.
Yote katika yote Mungu muumbaji wetu akuponye.
Pole sana! Umejuaje kama una hiyo Perinal Vistula? kama umepimwa huko ulikopata majibu watakuwa na uelewa zaidi. Hata hivyo endelea kusubiri kuna wataalam humu wanaweza kukupa msaada.
Sio vibaya ukatueleza inakuwaje na sisis tukaijua.
Yote katika yote Mungu muumbaji wetu akuponye.
Amina mkuu,ni jipu flani linaota karibu na sehemu ya haja kubwa ila linakuwa na mzizi ndani sana. Nilienda hospitali flani wakaniambia linahitaji operation ila wao hawafanyi. Nimejaribu kufuatilia operation ya hii kitu inasemekana siyo kila daktari anafanya na huwa inarudi isipofanyika vizuri,kwa kifupi inaogopesha mkuu
Njoo pm nikupe maelezo kidogo tu ya kupata msaada wa ugonjwa wako
Suluisho la hilo tatizo ni kufanyiwa operesheni. Ugonjwa huu ni ngumu sana kumwelezea mtu kama unaaibu ila jinsi siku zinavyokwenda aibu inabidi uweke pembeni. Chanzo kikuu cha tatizo ni constipation na pia epuka vyoo vya kukaa.
Nishawai pata hilo tatizo nikafanyiwa opersheni.Mkuu unaufahamu vizuri huu ugonjwa?
Nishawai pata hilo tatizo nikafanyiwa opersheni.
Tumia maji ya uvuguuvugu yakiwa na mchanganyiko wa sabuni ya Detto ya maji baada ya siku 10-14 kidonda kinakuwa kimepona.Angalizo mimi nilifanyiwa operesheni mara ya kwanza alafu baada ya mwaka tatizo likatokea tena ikabidi nifanyie tena. Ili kuepuka tatizo kujirudua usitumie choo cha kukaa na epuka vyakula vinavyoleta costipation.Kidonda kilichukua muda gani kupona mkuu? Kwani nina wiki lakini bado kinatoa maji maji
Tumia maji ya uvuguuvugu yakiwa na mchanganyiko wa sabuni ya Detto ya maji baada ya siku 10-14 kidonda kinakuwa kimepona.Angalizo mimi nilifanyiwa operesheni mara ya kwanza alafu baada ya mwaka tatizo likatokea tena ikabidi nifanyie tena. Ili kuepuka tatizo kujirudua usitumie choo cha kukaa na epuka vyakula vinavyoleta costipation.
Mazoezi yanasaidia sana kwa sababu toka nianze kufanya mazoezi tatizo la constipation halipo tena . Mazoezi yamenisaidia kupata kiu ya kunywa maji, wakati zamani nilikuwa si mpenzi wa kunywa maji kabisa naweza kukaa siku mbili hadi tatu bila kunywa maji.Asante kwa angalizo mkuu,je kama ni mtu wa kufanya mazoezi hasa ya kukimbia naweza endelea kufanya mkuu kwa uzoefu wako? Samahani kwa usumbufu mkuu
Mazoezi yanasaidia sana kwa sababu toka nianze kufanya mazoezi tatizo la constipation halipo tena . Mazoezi yamenisaidia kupata kiu ya kunywa maji, wakati zamani nilikuwa si mpenzi wa kunywa maji kabisa naweza kukaa siku mbili hadi tatu bila kunywa maji.