Nini dawa ya kutibu ANAL FISTULA? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini dawa ya kutibu ANAL FISTULA?

Discussion in 'JF Doctor' started by Chatumkali, Sep 22, 2011.

 1. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #1
  Sep 22, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Nimesumbuliwa na hilo tatizo kwa miaka miwili sasa,nilianza kutibu kwa kutumia ANUSOL SUPPOSITORY bila mafanikio,nimefannyiwa upasuaji mdogo mala tatu katika kipindi cha kuanzia march hadi sasa lakini bado sijapata nafuu kwa sababu kikovu cha kidonda bado kinauma sana sana,kifupi tatizo bado halijaisha kabisa,naomba kwa yeyote anaefahamu dawa mbadala tofauti na upasuaji anisaidie kupitia jukwaa hili ili nimalize kabisa hili tatizo
   
 2. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #2
  Sep 22, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  Pole sana kwa kuumwa...
  Ngoja waje wataalamu.
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Sep 22, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  jaribu kwenda CCBRT..
   
 4. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #4
  Sep 22, 2011
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kama una kale kamchezo uache.
   
 5. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #5
  Sep 22, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  unaleta utani mi niko serious mkuu,tikerra kama huna msaada constructive waachie real great thinkers wanisaidie mkuu
   
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Sep 22, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,468
  Trophy Points: 280
  Pole sana...
   
 7. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #7
  Sep 23, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,618
  Trophy Points: 280
  Fistulas
  A fistula is an abnormal channel from a hollow body cavity to the surface (for example, from the rectum to the skin) or from one cavity to another (for example, from the vagina to the bladder). A fistula may be congenital (bladder to navel), the result of a penetrating wound (skin to lung), or formed from an ulcer or an abscess (appendix abscess to vagina, or tooth socket to sinus).
  The repeated filling of an abscess or a wound by the fluid contents of some body cavity prevents healing and encourages the formation of a fistula. An anal fistula, for example, begins with inflammation of the mucous lining of the rectum. The area becomes an abscess as it is constantly reinfected by feces; eventually a fistula breaks through to the skin near the anus. The usual treatment is an operation to open the fistula channel completely and drain any abscess so it does not recur.
  [​IMG]
   
 8. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #8
  Sep 23, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,618
  Trophy Points: 280
  Jaribu hii maji ya ganda la mgomba unaliponda na kupaka kwenye unyeo kutwa mara tatu kwa wiki mbili.mi nimepona .anusol haikunisaidia pamoja na kuitumia kwa miaka miwili .mgomba just two wiki.
   
 9. NG'ADA

  NG'ADA Senior Member

  #9
  Sep 23, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndio kwanza nimeickia hii anal fistula...pole ndugu,...ila ningkua na raha zaidi kama ningejua imetokana na nn?
   
 10. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #10
  Sep 23, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Pole sana, na pongezi Mzizi Mkavu kwa maelekezo yako yakitabibu!
   
 11. Amina Thomas

  Amina Thomas JF-Expert Member

  #11
  Sep 23, 2011
  Joined: Mar 9, 2008
  Messages: 272
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  kwanza umeipataje?
   
 12. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #12
  Sep 23, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Asante sana kwa ushauri,kwa maelezo niliyopewa awali na daktari ni kwamba,tatizo hili humpata mtu yeyote na husababishwa na ama kuwa na mazoea ya kukaa muda mrefu,ama kusimama muda mrefu,ama kufanyakazi ngumu mda mrefu huku ukiwa wima kama vile kufundisha<mimi ni mwalimu.ama kutokuwa na ratiba nzuri ya kula chakula<irregular time table>
   
 13. d

  dumpwa Senior Member

  #13
  Sep 16, 2013
  Joined: Aug 26, 2013
  Messages: 100
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Tatizo liliisha
  ?
   
Loading...