Nini dawa ya Choo kigumu?


boy 1

boy 1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2016
Messages
392
Likes
229
Points
60
Age
31
boy 1

boy 1

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2016
392 229 60
Dawa gani nzuri inayosaidia kupata choo laini au kwa mtu anayepata choo kigumu husababishwa na nini?
 
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
32,869
Likes
98,214
Points
280
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
32,869 98,214 280
DAWA gani nzur inayosaidia kupata choo laini au kwa mtu anayepata choo kigumu husababishwa na nn?
Huyo mtu anafanya mazoezi, anakunywa maji angalau litre 1.5-2 kwa siku, anakula vyakula vya fibre kama ugali wa dona mboga mboga na protein, anafanya mazoezi? Oops na matunda pia.
 
Prince Kunta

Prince Kunta

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2014
Messages
12,804
Likes
11,561
Points
280
Prince Kunta

Prince Kunta

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2014
12,804 11,561 280
Kunywa maji ya kutosha pia kula matunda kama papai
 
boy 1

boy 1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2016
Messages
392
Likes
229
Points
60
Age
31
boy 1

boy 1

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2016
392 229 60
Shukrani sana
 
Ngozi Joram

Ngozi Joram

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2016
Messages
667
Likes
520
Points
180
Ngozi Joram

Ngozi Joram

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2016
667 520 180
Kama unataka matokeo ya haraka chukua ukwaju tengeñeza juice nzito namaanisha juice nzito usiweke sukari au iwe kdg sana kisha gonga glass2 na uwe home maana ni 30mins tu unaanza kuharisha
 
Ngozi Joram

Ngozi Joram

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2016
Messages
667
Likes
520
Points
180
Ngozi Joram

Ngozi Joram

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2016
667 520 180
Lakini ukitaka matokeo endelevu zingatia ushauri wa wadau wengine kuwa kunywa maji ltr3 kwa siku penda mazoezi hata kama ni kutembea. Ulaji wa matunda usisubiri Dr aseme
 
B

BOSCO OJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2011
Messages
347
Likes
193
Points
60
B

BOSCO OJA

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2011
347 193 60
Du! kina mtu alitujuza humu alisaidiwa na mkewe kumogoa mzigo kwa kijiti. yani ulishika tit ileile. Tulicheka sana humi ndani!! kikumbwa kama waumwa kawaida maji ni msaada mkubwa. lkn kama sababu ni tofauti. hangaika!!
 
M

Mwanapropaganda

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Messages
4,268
Likes
2,139
Points
280
M

Mwanapropaganda

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2014
4,268 2,139 280
Acha kula vyakula vilivyokobolewa, pia kula matunda yenye nyuzi nyuzi kama maembe, mananasi pia juisi ya ukwaju na ubuyu.
 
Eddy Love

Eddy Love

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2011
Messages
13,125
Likes
6,663
Points
280
Age
29
Eddy Love

Eddy Love

JF-Expert Member
Joined Jul 25, 2011
13,125 6,663 280
kula ndizi mbivu na mapapai kila siku
 
Chemtrail

Chemtrail

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2016
Messages
830
Likes
430
Points
80
Age
65
Chemtrail

Chemtrail

JF-Expert Member
Joined Aug 15, 2016
830 430 80
Usinywe dawa za hospitali.Badilisha ulaji wako.Kula nafaka zisizokobolewa,maji mengi(angalau lita tatu kwa siku),matunda(hasa mapapai) na mboga mboga kwa wingi.Tatizo litapotea kabisa.
Dawa gani nzuri inayosaidia kupata choo laini au kwa mtu anayepata choo kigumu husababishwa na nini?
 

Forum statistics

Threads 1,274,330
Members 490,664
Posts 30,508,558