Nini chaweza mfanya mtoto apende kula?

Jenga tabia ya kumpa chakula na wenzake sahani moja baada ya mwezi mmoja lete mrejesho mkuu.
 
Nisadie naelezo na mimi hiyo ELYDAC SYRAP nina mdogo wangu ana mtoto ana mwaka na mwez moja ila anasumbua kula sana na pia mtoto hatembei hawa hajaanza kutembea tumetembea hospitar sana huku mkoan ila wanasema hana ugonjwa kinachomfanya kutotembea ni uzito mdogo sio sir inasikitisha sana
Duuh mwaka na nusu ni mkubwa, mult vitamins zipo nyingi ila ningeshauro aonane na madaktari bingwa kwanza
Ili wamshauri dawa nzuri kulingana na haki ya mtoto,nduguyo yupo mkoa gani?
 
dada mwanangu na miezi tisa, alikua hataki kula,akila vijiko viwili tu anabana mdomo,nikimlazimisha kula anatapika mpaka alivyovila juzi, nimpeleka kwa maspecialist wooote wa watoto amepimwa kila kitu,wamesema hana tatizo lolote,nilianzia kwa dk massawe,nikaenda kwa dk hameer,nikaenda hindu mandar,nikaenda tmj,nimemaliza pesa kwa madaktari jamani hadi na mimi nikaanza kukonda,mtoto alizidi kupoteza uzito mpaka akabaki kilo tano just imagine mtoto wa miezi tisa ana kilo tano. sasa mama mkwe wangu akaniambia nimpeleke kwa wachina, nikampeleka wachina wakampima vipimo vyoooote jibu likawa hilo hilo(HANA TATIZO LOLOTE) NILICHANGANYIKIWA...
Please mahitaji hiyo calcium powder
 
Jaribu kumpa unga wa maini uliosagwa.
Ila chonde chonde mwanao atakula sana mpaka wazazi mtamshangaa.
Ukiwa tayari ni Pm nikuelekeze jinsi ya kuandaa.
Naomba utoe ufafanuzi hapa kwa wote. Wahitaji ni wengi na sio rahisi wote kuku pm
 
dada
mwanangu na miezi tisa, alikua hataki kula,akila vijiko viwili tu anabana mdomo,nikimlazimisha kula anatapika mpaka alivyovila juzi, nimpeleka kwa maspecialist wooote wa watoto amepimwa kila kitu,wamesema hana tatizo lolote,nilianzia kwa dk massawe,nikaenda kwa dk hameer,nikaenda hindu mandar,nikaenda tmj,nimemaliza pesa kwa madaktari jamani hadi na mimi nikaanza kukonda,mtoto alizidi kupoteza uzito mpaka akabaki kilo tano just imagine mtoto wa miezi tisa ana kilo tano. sasa mama mkwe wangu akaniambia nimpeleke kwa wachina, nikampeleka wachina wakampima vipimo vyoooote jibu likawa hilo hilo(HANA TATIZO LOLOTE) NILICHANGANYIKIWA.

mama akaniambia nimpeleke tianjin(pale msasani mwisho kwa wachina) nikampeleka nikawaelezea wakaniambia mtoto anatakiwa apate calcium(vitamin D3) tena wakaniambia ni tatizo la watoto wengi sana now days, wao wanatengeneza calcium powder yani ni kama lishe tu inauzwa 45,000/= nikanunua namkorogea mtoto kwenye maji kila siku nampa,its only a week tangu nimeanza kumpa mtoto hiyo calcium ila anamabadiliko makubwa analilia chakua yani anakula mpaka nafurahi. tena hata kama huna hela ya kumnunulia calcium walinishauri nikaushe mifupa ya samaki niisage halafu nihakikishe kila siku asubuhi anakunywya kijiko cha chai kimoja cha unga wa mifupa ya samaki ulichangwanywa na maji au maziwa.

pili mama aliniletea dawa fulani insuch ni multvitamin inaitwa ELYDAC SYRAP, ina vitamin D3 nayo nampa kila siku kijiko kimoja na inapatikana phamarcy.hii nayo inamsaidia kupata apetite maana ina calcium ndani.
if its useful niPM nikupe more details maana mwanangu sasa hata uzito unongezeka
Hapo Tianjin bado wapo?
 
Mm wanangu hapa mmoja ana 8 yrs na mwingine 5 yrs madume tu mpunga kg 1.5 hata wa chai asubhi haubaki

Mkate wa buku wanamaliza chaap na kupigana watapigana na ukizubaa chupa ya chai inaweza ikavunjwa

Darm they eat like their fucking dad!
 
mtoto anaesumbua kula mdistract na michezo ya hapa na pale akizubaa tu unatia kijiko mdomoni.. mpaka kibakuli kinaisha. hamna haja ya kutumia dawa za kuongeza hamu ya kula.

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Habari zenu wapendwa?

Nna mtoto ana mwaka mmoja sasa, jamani ni mateso hataki hata kidogo kula nimetumia kila mbinu lakini nimekwama. Nimpe dawa gani ili awe anakubali kula?
Mimba yake ilipatikana kwa Hiari baina yenu Wazazi wake au ilikuwa ni ya bahati mbaya tu kuitoa ilishindikana kwa Kuogopa Dhambi ya Kuua?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom