Nini chanzo na sababu ya kuwepo Siasa Afrika?

Range rover

Senior Member
Nov 22, 2016
186
195
Baada ya kuwaza na kutafakari matatizo, shida na raha, nikaamua kujiuliza labda wenzangu mnaweza nisaidia kufikiri.

Hivi ni nini chanzo cha kuwa na hivi Vyama vya Siasa?

Ikiwa wakoloni walitutawala na walikuwa na kiongozi lakini hawakuwa na chama wala hawakugombania kukaa ikulu na walikuwa na jeshi lao, Polisi, n.k, lakini walikuwa peace kuhakikisha wanatu-control, ila baada ya kutuachia nchi, angalia afrika nzima ni vyama vya siasa, ni vita, civil war kila angle ya bara na hapo tunajiongoza wenyewe.

Ninauliza, nini umuhimu wa siasa huku Afrika?
 
Wakoloni hawakuwa na vyama vya siasa kwenye makoloni ili kuhakikisha hakutokuwa na vikwazo
Maana wangeruhusu watu wagombee nafasi za kisiasa ndogo,watu wangetaka na uhuru
 
Back
Top Bottom