Nini chanzo na pia dawa ya korodani kuvimba na kuuma kwa muda mrefu

de98

JF-Expert Member
Aug 13, 2017
732
742
Naomba kufahamu kwa yeyote anaejua. Nimejaribu ku-Google lakini sijapata ufumbuzi wa hili gonjwa, maana huwa napata changamoto kuujua kiundani huu ugonjwa huwa naufananisha na mshipa wa ngiri.

Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom