Nini chanzo cha utoaji mimba uliyo kithiri kwa mabinti wa kizazi cha sasa?

88 girl

New Member
May 27, 2011
3
1
Inaonyesa kuwa wasichana wengi wa kizazi cha sasa wamefanya fasheni katika tendo hili la utoaji mimba hali ambayo inapelekea kutokea kwa vifo vingi vya mabinti hapa nchini.Je nn chanzo cha utoaji mimba uliokithiri kwa mabinti wa kizazi cha sasa?
 
Chanzo ni wanaume viwembe wanaopiga mashine pila sox na kuvipachika mimba vibinti vidogo kwa umri kama binti zao wa kuwazaa ambao wengi wao ni wanafunzi wa primary,sec na hata vyuo..matokeo yake vibinti inabidi vichoropoe mimba ili viendele na masomo bila kero
 
Back
Top Bottom