Nini chanzo cha ongezeko la wasagaji?

Nilishajaribu kufanya research nikaona wanawake wengi wasagaji ni wale walioumizwa sana na wanaume, na hata ukijaribu kuwaulizia watakuambia wanaume wa siku hizi ni pasua vichwa bora niwe msagaji sitaki tena kuumizwa na wanaume. So sababu kubwa ya usagaji ni wanaume kuwaumiza wanaamua bora wawe wasagaji
 
maandiko matakatifu hayaongopi! huu wakati ulitabiriwa katika biblia kabisa tukambia zitakuwa ni dalili ya nyakati za mwisho
 
Nilishajaribu kufanya research nikaona wanawake wengi wasagaji ni wale walioumizwa sana na wanaume, na hata ukijaribu kuwaulizia watakuambia wanaume wa siku hizi ni pasua vichwa bora niwe msagaji sitaki tena kuumizwa na wanaume. So sababu kubwa ya usagaji ni wanaume kuwaumiza wanaamua bora wawe wasagaji
mbona wanaume tunatendwa hatugeuki kuwa mashoga coz madem zetu wametutenda?
 
Mbona tulishaanza siku nyingi kufikiria watu wa jinsia moja hasa 'ke' vibaya.
Mimi nikiona wadada wawili wako very close...sijuhi wanalala pamoja na ni watu wazima baaasi na conclude.
Kwa sababu kama wapo unadhani ni kina nani kama si hawa tunaowaona...???

Itafikia wakati watu wa jinsia moja hawataweza kushare kitanda kimoja au
chumba bila kufikiriwa vibaya.
 
The Second Law of Thermodynamics. In a closed system, unless redressed, entropy always increases and strangeness become normal until normal become strangeness, till nightfall and the big crunch.

Same reason why if you lock your room, no matter how airtight, dust will get in and cobweb will form.

You feel me?
fafanua mkuu vilaza tuko wengi, wengine tumesoma shule za kata
 
duuuuu hilo neno umelipata ROHONI...haya
sasa ndugu filonos we fikiria eti wanasema wanatendwa na wanaume ndo maana hawawaamini tena wanaume wanaamua kumalizana peke yao na wanaume waliotendwa ambao hawawaamini wanawake tena wanapaswa kutafuta wanaume wenzao wakamalizane nao? ndo suluhu? mi nilitendwa niliumia kichizi sikuwaamini wanawake tena...........after 2 years nilimpata mwanamke ambaye huniambii lolote juu yake sasa hivi nampenda mno, namwamini mno......ingekuwaje kama ningeamua kugeukia wanaume wenzangu kisa wanawake wamenizingua?
 
utandawazi,umasikini,hulka ya mtu,kuiga,kutazama picha chafu,ulimbukeni,unself control pia huchangia watu kujihusisha.
 
Back
Top Bottom