Nini chanzo cha ongezeko la wasagaji?

1.ongezeko la vibamia duniani....yani 99% ya wakaka vibamia
2.wanawake wanafanya vizuri kuliko wakaka( wako so romantic in love making than men)
3.wadada wana care na wako so polite kuliko wakaka...izo ni chache sana ila namba moja ndio sababu kuu

cute unaweza ukawa sahihi kiasi fulani, lakini tatizo utumiaji mzuri wa hayo maumbile! unaweza ukawa na bamia
lakini ukamzidi mwanaume mwenye tango!!
Ukweli ni kwamba wanaume wengi tunahisi, zama toa X 10 power n, ndio mwisho wa mchezo kumbe kuna vikorombwezo
kibao ambavyo bila hivyo mchuzi hata ukawa wa kuku haunogi...
 
kwa siku za karibun hili jambo naona linakua kwa kasi sana.wadada wengi wanapenda kuwa au kujiita wasagaji. Mara nyingi imekua kitu cha kawaida ktk mitandao yao ya kijamii au mitaani ktk maisha ya kawaida kujiita au kujitangaza hivyo. Kwa wanaume najua wengi wanasema ni homon znawatuma kuwa hivyo,na mara nyingi wengi wamekua wakianza toka utotoni japo co wote.kwa kinadada naona ni tofauti sana sababu wengi wao ndio wanaamua tu ukubwani kuwa hawataki tena wanaume bora wasagane wenyewe tu.wadau wenye kua kina na hili tuwekane wazi. Mawazo ya wadada nadhan yatakua na uzito zaid coz wao ndio watajwa ktk hili..
Gungukeni hapa!!!!!
Hivi kuna kina kaka wasagaji pia!!! Hii nilikua siijui kikweli.thanx for info mleta mada.
 
Kuna hii niliishuhudia abt 1 and half year ago
pale opposite na mango garden kuna kiglosary kimoja
alikuwa mmama mtu mzima hasa na tena kwa umri wake anatakiwa awe na wajukuu kama hana.
Alikuwa na wakaka wa makamo age 30's au 40's wakawa wanakunywa bia mara akaja mkaka na mdada.
Yule mdada akaanza kubishana na yule mama mara analia (mimi mmbea na najijua nilikuwa nakula chabo tu)mmama akawa anambembeleza mara anampapasa bint haachi kulia tu
kidogo anaanza kumlaumu yule kaka aliyekuja nae najaribu kumquote''we unaweza kunifanyia hivi??ahsante sana sikutegemea''.Mara mmama akakasirika akapaza sauti
'' wewe mimi nina hela hawa wote wafanyakazi wangu nitakuvalisha dhahabu mwili mzima,tutasafiri wote dubai utakaa kwenye jumba langu lina swimming pool ndani,nitakupa kila kitu utakuwa mdada wa mjini we unafikiri wakina ....(akamtaja jina mtangazaji mmoja wa kike maarufu mjini)unafikiri kwa nini wanaendesha magari??na china kila siku wanaenda?
Mimi ndo kila kitu
akambusu na kumfuta machozi na mpapaso wa nguvu ...yaliyoendelea sikuyajua
maana mda wa kkuondoka ulifika.
Nilichokiona kuwa wale wanaume wanamtafutia wanawake yule mama msagaji sasa inaelekea yule bint aliambiwa tu twende ukanywe bia za bure au twende kuna buzi lina hela kishenzi ukalichune...
Wanawake kazi kwetu
tuthamini kidogo tunachokipata

Hahahaha! weye hutaki mahela?
 
Kuna mambo mengi yanayochangia, baadhi yameshatajwa na luteni asigwa na mengine ni haya yafuatayo;
1. wanaume hawajui wajibu wao pindi wakikutana kimapenzi na wanawake, sana2 wanajijali wao tu na kuwaacha
wenza wao njia panda! hili linachukua nafasi kubwa !!
2. Upungufu wa maadili katika jamii, na ukosefu wa ujuzi juu ya athari za kusagana katika kijamii !!
3. Mkusanyiko wa jinsia moja kwa muda mrefu, kama vile girls boarding schools . Hili huwaathiri hata wanaume.
4. Ni matokeo ya kizazi fulani, kwani kila generation inakua na vituko vyake, kwa sasa tunayaona haya, siku zijazo
tunaweza kushuhudia mengineo....

In-dhari:
1. Jamii ilikemee suala hili kuanzia majumbani, kupitia vyombo vya habari na hasa2 mashuleni.
2. Wanaume hasa2 vijana, mnatakiwa muwajibike ipasavyo katika kuwahudumia mabinti kimapenzi ili wasishawishike
na njia mbadala...
sababu ya 4 imekaa kidhanifu zaidi kuliko kisayansi
 
Kuna hii niliishuhudia abt 1 and half year ago
pale opposite na mango garden kuna kiglosary kimoja
alikuwa mmama mtu mzima hasa na tena kwa umri wake anatakiwa awe na wajukuu kama hana.
Alikuwa na wakaka wa makamo age 30's au 40's wakawa wanakunywa bia mara akaja mkaka na mdada.
Yule mdada akaanza kubishana na yule mama mara analia (mimi mmbea na najijua nilikuwa nakula chabo tu)mmama akawa anambembeleza mara anampapasa bint haachi kulia tu
kidogo anaanza kumlaumu yule kaka aliyekuja nae najaribu kumquote''we unaweza kunifanyia hivi??ahsante sana sikutegemea''.Mara mmama akakasirika akapaza sauti
'' wewe mimi nina hela hawa wote wafanyakazi wangu nitakuvalisha dhahabu mwili mzima,tutasafiri wote dubai utakaa kwenye jumba langu lina swimming pool ndani,nitakupa kila kitu utakuwa mdada wa mjini we unafikiri wakina ....(akamtaja jina mtangazaji mmoja wa kike maarufu mjini)unafikiri kwa nini wanaendesha magari??na china kila siku wanaenda?
Mimi ndo kila kitu
akambusu na kumfuta machozi na mpapaso wa nguvu ...yaliyoendelea sikuyajua
maana mda wa kkuondoka ulifika.
Nilichokiona kuwa wale wanaume wanamtafutia wanawake yule mama msagaji sasa inaelekea yule bint aliambiwa tu twende ukanywe bia za bure au twende kuna buzi lina hela kishenzi ukalichune...
Wanawake kazi kwetu
tuthamini kidogo tunachokipata

fanya mpango unitafutie namba za huyo mama jitahidi aiseee nitakupa zawadi yako kubwa sana do it basi
 
fanya mpango unitafutie namba za huyo mama jitahidi aiseee nitakupa zawadi yako kubwa sana do it basi

pole sana mi hapa nina dhambi kibao najitahidi ninazoweza kuziepuka na zisizonihusu niziepuke
so tembea tafuta mwenyewe na unaweza kubahatika ukapata msagaji akakusaga vizuri na nyumba akakujengea katikati ya bahari
all the best
 
Hahahaha! weye hutaki mahela?

nina hela nyingi sana sana hata huyo bwanangu ninamuhonga so ukitaka hata wewe njoo nikuhonge
mi nataka dushelele liingie nilisikie na mwisho wa siku liteme wazungu kibao na liheme haswa nililifutefute
habari ndo hiyo
 
Itafikia wakati watu wa jinsia moja hawataweza kushare kitanda kimoja au
chumba bila kufikiriwa vibaya.
 
sasa kama wadada ndio wanaojua jins ya kumkuna mwanamke mwenzao kwann ictolewe somo hapa iwe faida hata kwa wanaume ili kudumisha ndoa na mahusiano yanayoelekea kuyumba.
Tuambiane tukune wap ili watu wafike ulaya.
Uzuri wa wanawake wasio wa kiafrika wanakwambia kabisa wakikunwaje ndio wanasikia raha, wanakuelekeza kama wakiona you don't know what you do.

Wengi wa wanawake wa kiafrika wanaona wakikuelekeza utawaona malaya, hivyo baadhi yao wanajaribu wanaume tofauti tofauti mpaka ampate anayemridhisha. Lakini huu ndio utamaduni wetu mwanamke hatakiwi kuonekana anapenda mchezo wenyewe.
 
Itafikia wakati watu wa jinsia moja hawataweza kushare kitanda kimoja au
chumba bila kufikiriwa vibaya.
inakaribia kufika tanzania. Nchi kama U.S mara nyingi wanaume huwa hawalali kitanda kimoja(unless ni haohao).

Na isitoshe wanaume wawili kuishi tu kwenye single bedroom, watu wanaweza wakawahisi vibaya.
 
Na kama kuna wanandoa wanapeana tigo basi hiyo cyo ndoa tena, tena itakuwa imelaaniwa.

Kwa ujumla lile ni tendo baya kabisa lakini utaona leo imekuwa kama fashion kwa baadhi ya wapenzi, naamini kuna wanaume wengi wenye ndoa na wanapata huduma hiyo halamu kwa mahawala wao lakini akija home anajikaiusha kabisa.

Pia wapo wake za watu wana mabuziyao ambayo nayo yanapewa huduma hiyo na waumezao wa ndoa hawajui kama wake zao wanafanya hivyo, kinachofuata kwa watu wa aina hiyo wanaathirika kisaikolojia kwamba wanakosa hamu ya kushiriki tendo la ndoa maana kilamtu ana wazia kitu tofanuti cha kumridhisha NJE YA NDOA.
 
hivi wadada msiporidhishwa na waume/bf zenu mnatafuta wanaume wengine wawakune au mnahamia kwa wanawake wenzenu? is it so easy ku-switch from 'hotdogs' to 'donuts' for you au mlikuwa mnatumia 'hotdogs' kama geresha?

hivi wakaka msiporidhishwa na waume/bf zenu mnatafuta wanaume wengine wawakune au mnahamia kwa wanawake wenzenu? is it so easy ku-switch from 'hotdogs' to 'donuts' for you au mlikuwa mnatumia 'hotdogs' kama geresha?[/QUOTE]
 
hivi wakaka msiporidhishwa na waume/bf zenu mnatafuta wanaume wengine wawakune au mnahamia kwa wanawake wenzenu? is it so easy ku-switch from 'hotdogs' to 'donuts' for you au mlikuwa mnatumia 'hotdogs' kama geresha?
LOL, quote better next time :becky:
 
nina hela nyingi sana sana hata huyo bwanangu ninamuhonga so ukitaka hata wewe njoo nikuhonge
mi nataka dushelele liingie nilisikie na mwisho wa siku liteme wazungu kibao na liheme haswa nililifutefute
habari ndo hiyo

mmmh! amu mi hamu, njoo unchukue basiii!
 
Last edited by a moderator:

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom