mathcom
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,396
- 518
1.ongezeko la vibamia duniani....yani 99% ya wakaka vibamia
2.wanawake wanafanya vizuri kuliko wakaka( wako so romantic in love making than men)
3.wadada wana care na wako so polite kuliko wakaka...izo ni chache sana ila namba moja ndio sababu kuu
cute unaweza ukawa sahihi kiasi fulani, lakini tatizo utumiaji mzuri wa hayo maumbile! unaweza ukawa na bamia
lakini ukamzidi mwanaume mwenye tango!!
Ukweli ni kwamba wanaume wengi tunahisi, zama toa X 10 power n, ndio mwisho wa mchezo kumbe kuna vikorombwezo
kibao ambavyo bila hivyo mchuzi hata ukawa wa kuku haunogi...