Nini chanzo cha ongezeko la wanawake wanaotoboa pua na kuvaa vipini?

Ukishaona mwanamke ana hivi vitu, basi jaribu kukwepa, na wala usitamani kuja kuoa.
1. Tatoo.
2. Kutoboa pua.
3. Kutoboa masikio matundu mengi.
4. Kikuku.

Usiniulize kwa nini, huwa ipo hivyo tu, na jamii hutambua hivyo.

Kwa uchunguzi wangu binafsi, niligundua wengi wa hao wanawake huwa na mojawapo ya hizi tabia ama waliwahi kuwa na mojawapo ya hizi tabia hapa chini;
  • Ngono holela ni sehemu ya maisha yao ya kila siku.
  • Wameshapigwa miti sana na watu tofauti tofauti ikiwemo wahuni.
  • Ni rahisi kutongozwa na kukubali.
  • Hawawezi kutosheka kimapenzi (wana wapenzi wengi, kila mitindo ya kingono huwa wameipitia au wanatamani kuipitia)
  • Wana tabia nyingi za kihuni ambazo hazikubaliki kijamii hususani kwa mwanamke.
katika yote uliyotaja hapo hakuna tatizo hata moja, kwani akipigwa miti kosa liko wapi? kwani kabakwa? si ni kwa mapenzi yake.
halafu uhuni ni tabia ya mtu, na uhuni kwa mtu mmoja huenda ikawa si uhuni kwa mwengine,
kuna watu hadi leo mwanamke akivaa suruali wanaona uhuni, ila kwa wengine wanaona freshi tu,

kwa hiyo yoote uliyotaja yanaweza kuwa uhuni machoni mwako kwa wengine wakajionea kawaida tu
 
Urembo tu..Mimi mwenyewe Nina mpango wa kutoboa pua siku kadhaa zijazo.
 
Kutoboa kipini puani huhusishwa na kuwa ni mjuzi nguli wa mapenzi ,pwani walikuwa wanatobolewa wanawali ambao wamesha pigwa full dose ya kumlea mume kwa technic za kawaida na za medani,Japo zama hizi za kihuni huhusishwa na utoaji tigo na usagaji.
 
Ukishaona mwanamke ana hivi vitu, basi jaribu kukwepa, na wala usitamani kuja kuoa.
1. Tatoo.
2. Kutoboa pua.
3. Kutoboa masikio matundu mengi.
4. Kikuku.

Usiniulize kwa nini, huwa ipo hivyo tu, na jamii hutambua hivyo.

Kwa uchunguzi wangu binafsi, niligundua wengi wa hao wanawake huwa na mojawapo ya hizi tabia ama waliwahi kuwa na mojawapo ya hizi tabia hapa chini;
  • Ngono holela ni sehemu ya maisha yao ya kila siku.
  • Wameshapigwa miti sana na watu tofauti tofauti ikiwemo wahuni.
  • Ni rahisi kutongozwa na kukubali.
  • Hawawezi kutosheka kimapenzi (wana wapenzi wengi, kila mitindo ya kingono huwa wameipitia au wanatamani kuipitia)
  • Wana tabia nyingi za kihuni ambazo hazikubaliki kijamii hususani kwa mwanamke.
Hiyo research uliifanya kwa wanawake wangapi?
 
Back
Top Bottom