Nini chanzo cha ongezeko la wanawake wanaotoboa pua na kuvaa vipini?

cocastic

JF-Expert Member
Nov 30, 2019
21,789
2,000
Niliwahi kuwa na mwanafunzi mmoja wa kiume aliyekuwa ametoboa pua na masikio na kuwepa vipini, halafu mikono ilikuwa imejaa tatoo kila sehemu; nilikuwa na negative attitude kuhusu tabia zake. Lakini baadaye nikabadilka kwani darasani kuwa anapaua sana hadi akawa best student kwenye somo langu. Kuna mambo ambayo watu wanafanya yasioyopendeza mbele ya jamii lakini siyo kuwa watu hao ni wajinga au wana tabia mbaya.
Naamini sio Bongo hii labda nje huko, tena South Africa,
Maan ingekua Bongo wallah angefelishwa kusud, na kutengenezewa zengwe la DISCO. km sio kufukuzwa kabisa.
 
Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
11,901
2,000
Naamini sio Bongo hii labda nje huko, tena South Africa,
Maan ingekua Bongo wallah angefelishwa kusud, na kutengenezewa zengwe la DISCO. km sio kufukuzwa kabisa.
Ni Amerika! Jamaa yule aliunganisha na Masters amemaliza mwezi Decemba mwaka jana.
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
18,449
2,000
Hospital....walikuwepo wadada wawili...kwakweli nilipenda coz walipendeza...

Binafsi nlitoboa masikio mashimo.matano kila sikio...ila matatu ndo yaliziba..

Unajuwa Wanawake tunapenda urembo Sana Sana Sana...hata hao wadada wanaoouuza nao wanapenda kuonekana viZuri kwa Ajili ya market..

But kusema Kwamba urembo Fulani ninkwa ajili ya watu Fulani tu...just because hao wameuvaa Sio POA..

Mfano, kutoboa pua..kunawatotoo wanatobolewa since wadogo...kuvaa vikuku...nao umekuwa ukahaba...kuvaa shanga...ukahaba...Kutoboa masikio ukahaba...kupaka mamekap...Napo shida..

Mwanamke Ni pambo na Ni viZuri akapendeza....SASA KWANINI mapambo yawe Ni kwa Ajili ya watu Fulani wengine wakivaa inakuwa shida....

Kweli Mimi navaa hijabu...nikitoboa masikio mashimo kumi....Wala lengo langu SI kuonekana kwa watu..mimi TU napenda...huo ukahaba unatoka wapi?
Mwanamke natural ni mrembo zaidi.

Jamani wanawake wanaume hawaridhiki, kuwa natural atakayekupenda ulivyo atakupenda tu.

Utavaa vipini, utatoboa pua, itatoboa kitovu, utajichubua, utavaa vikuku, utapaka mchina uwe na kario, utaliwa tigo, utarekodiwa video za ngono.

Mwishowe maisha yako yatakuwa ya stress tu na majuto.

Jifunzeni kuwa na mipaka. Siyo kika unachokiona dunia hii kinakuhusu, unadaka kila trend.

Vingine acheni vipite.
 
kolola

JF-Expert Member
Apr 26, 2020
3,654
2,000
Hospital....walikuwepo wadada wawili...kwakweli nilipenda coz walipendeza...

Binafsi nlitoboa masikio mashimo.matano kila sikio...ila matatu ndo yaliziba..

Unajuwa Wanawake tunapenda urembo Sana Sana Sana...hata hao wadada wanaoouuza nao wanapenda kuonekana viZuri kwa Ajili ya market..

But kusema Kwamba urembo Fulani ninkwa ajili ya watu Fulani tu...just because hao wameuvaa Sio POA..

Mfano, kutoboa pua..kunawatotoo wanatobolewa since wadogo...kuvaa vikuku...nao umekuwa ukahaba...kuvaa shanga...ukahaba...Kutoboa masikio ukahaba...kupaka mamekap...Napo shida..

Mwanamke Ni pambo na Ni viZuri akapendeza....SASA KWANINI mapambo yawe Ni kwa Ajili ya watu Fulani wengine wakivaa inakuwa shida....

Kweli Mimi navaa hijabu...nikitoboa masikio mashimo kumi....Wala lengo langu SI kuonekana kwa watu..mimi TU napenda...huo ukahaba unatoka wapi?
Comment hii
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom