Migogoro yote hapa Afrika inatokana na bad governance. Viongozi wetu wana tamaa sana na waingiapo madarakani wanasahau kuwa walitoa ahadi gani. Hapa ndipo utakuta anaiba na kusahau yote aliyoahidi kuyafanya wakati anaomba kura zetu. Katika nchi nyingine wanaona bora kuwaua ama kuwapindua maraisi wao .