Nini chanzo cha Mdomo kuwa chumvi chumvi

Mwamba028

JF-Expert Member
Nov 15, 2013
4,546
3,549
Wakuu kwa mwenye kujua chanzo cha tatizo la mdomo kuwa na ladha chumvi chumvi muda wote, yani kila unachokula au kunywa unahis kina chumvi,kuanzia maji,juis, chai na chakula pia kwenye kula kinapoteza ladha kwa 50% na unapomeza ndo husikii ladha kabisa

Hata mate ukimeza yanakuwa na chumvi.

Mwenye ufahamu na tatizo hili tafadhali mana nimejaribu kuchek online sijapata chanzo halisi.
 
Pole sana mkuu watakuja mafundi kukueleza.Ila mi nlichokiona umebarikiwa huwezi pata ugonjwa wa kisukari mwili wako umejaa chumvi
 
Wakuu kwa mwenye kujua chanzo cha tatizo la mdomo kuwa na ladha chumvi chumvi muda wote, yani kila unachokula au kunywa unahis kina chumvi,kuanzia maji,juis, chai na chakula pia kwenye kula kinapoteza ladha kwa 50% na unapomeza ndo husikii ladha kabisa

Hata mate ukimeza yanakuwa na chumvi.

Mwenye ufahamu na tatizo hili tafadhali mana nimejaribu kuchek online sijapata chanzo halisi.

Nadhani angalia maji unayokunywa kwanza
 
Back
Top Bottom