Nini chanzo cha mapato ya Bunge letu tukufu?

PAZIA 3

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
1,074
1,856
Tuna mihimili mikuu 3 ambayo ni Serikali,Bunge na Mahakama. Mihimili mingine mapato yao yanajulikana lakini kwa Bunge huwa nasikia wana timu ya mpira tu,kama ntakuwa nimesahau mnikumbushe!!

Nashauri mhimili huu upanue wigo wa vyanzo vya mapato mfano shule kila jimbo ama viwanda vyake nk.

Nakubali kukosolewa
 
Tuna mihimiri mikuu 3,ie serikali,bunge na mahakama,wengine mapato yao yanajulikana,lakn kwa bunge huwa naskia wana timu ya mpira tu,kama ntakuwa nimesahau,mnikumbushe!!
Nashauri mhimiri huu upanue wigo wa vyanzo vya mapato,mf shule kila jimbo,ama viwanda vyake nk
Nakubali kukosolewa
Ngoja tusubiri mawazo ya Lusinde, Msukuma, Majimarefu, Marwa, Godluck etc
 
Yaan,huu mhimiri ndo unaotumia pesa nyingi,lakn hulalamika waendelee kuongezewa hela ya posho
 
Back
Top Bottom