Nini chanzo Cha ajali kwenye hii picha

Umuzukuru

JF-Expert Member
May 30, 2019
609
537
Chukulia wewe ndio mchunguzi....
Haya tiririka
FB_IMG_15927438113316678.jpg
 
Hizo ndizo akili za kuambiwa!!! Akili zenu hamzitumii mmeziweka mfukoni!!! Hapo hamuoni hata KiTWANGA kuwa naye huwa anakunywa hiyo Faru John yeye sasa mpaka Bungeni utafikiri alitumwa na wananchi wake akanywe pombe,Lakini kwa kwa ushabiki umewakolea huwezi tia neno kwake!!!
Mkuu kumbe unaijua faru john, kitwanga hakuwa mlevi mlimsingizia
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom