ZinaaChukulia wewe ndio mchunguzi....
Haya tiririka
Umewaza vibaya!Zinaa
Mambo mrembo..😉Zinaa
Huoni askar hapo pemben wameshika silaha wao ndo wametungua ndege.Ushahidi wako haujitoshelezi
Hizo ndizo akili za kuambiwa!!! Akili zenu hamzitumii mmeziweka mfukoni!!! Hapo hamuoni hata KiTWANGA kuwa naye huwa anakunywa hiyo Faru John yeye sasa mpaka Bungeni utafikiri alitumwa na wananchi wake akanywe pombe,Lakini kwa kwa ushabiki umewakolea huwezi tia neno kwake!!!
Mkuu kumbe unaijua faru john, kitwanga hakuwa mlevi mlimsingiziaHizo ndizo akili za kuambiwa!!! Akili zenu hamzitumii mmeziweka mfukoni!!! Hapo hamuoni hata KiTWANGA kuwa naye huwa anakunywa hiyo Faru John yeye sasa mpaka Bungeni utafikiri alitumwa na wananchi wake akanywe pombe,Lakini kwa kwa ushabiki umewakolea huwezi tia neno kwake!!!
Aksante sana kwa kuweka akili yako mfukoni harafu wewe ukaanza kutumia Akili za Lumumba!!!Mkuu kumbe unaijua faru john, kitwanga hakuwa mlevi mlimsingizia