Nini cha kuzingatia ukitaka kununua gari showroom?


C

chifu77

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2014
Messages
909
Likes
518
Points
180
C

chifu77

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2014
909 518 180
Habarini za jioni wakuu.
Je mtu akitaka kununua gari katika show room za hapa bongo. Dar, mwanza au arusha. Je ni mambo gani muhimu ya kuzingatia ili kuepuka kuuziwa gari bovu.
Kama unahitaji lililotumika mfano Japan, je kuna uwezekano wa kudanganywa na kuuziwa lililotumika hapa nchini?
je hili suala la gari lililotumika hapa bongo linapigwa service na rangi then linawekwa showroom utalikwepaje?
 
Ngisibara

Ngisibara

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2009
Messages
2,391
Likes
703
Points
280
Ngisibara

Ngisibara

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2009
2,391 703 280
Ukitaka kulizwa kijinga basi nenda show room za Tanzania ununue mikweche iliyofanyiwa ukarabati
 
C

chifu77

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2014
Messages
909
Likes
518
Points
180
C

chifu77

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2014
909 518 180
Ukitaka kulizwa kijinga basi nenda show room za Tanzania ununue mikweche iliyofanyiwa ukarabati
Duuh.. mkuu mbona unanitisha. Sasa hizi showroom zilizotapakaa mjini wanawauzia kina nani hayo magari yao? Inaonekana kuna watu kibao wanayanunua. Vinginevyo, hizi showroom zisingekuwepo
 
Swagger is alive

Swagger is alive

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2016
Messages
566
Likes
466
Points
80
Swagger is alive

Swagger is alive

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2016
566 466 80
Mkuu gari za showroom zipo Poa Sana! Ni Pm upate gari unayotaka kwa bei nzuri. Hao Jamaa wasikutishe.
 
Fmruma

Fmruma

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Messages
359
Likes
305
Points
80
Fmruma

Fmruma

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2013
359 305 80
Kama una mtu wa karibu utapata gari fresh ila kama ukienda kichwa kichwa unaweza pata gari lakin sometime wanakua wamechomoa baadhi ya vtu muhimu na ni vgumu kushtuka,jamaa yangu walimbaddilishia plug na coil
 
C

chifu77

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2014
Messages
909
Likes
518
Points
180
C

chifu77

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2014
909 518 180
Kama una mtu wa karibu utapata gari fresh ila kama ukienda kichwa kichwa unaweza pata gari lakin sometime wanakua wamechomoa baadhi ya vtu muhimu na ni vgumu kushtuka,jamaa yangu walimbaddilishia plug na coil
Hizi ni tamaa za Kijinga! Kazi kweli kweli. Je kama gari halijasajiliwa si inamaanisha halijatumika hapa bongo?
 
Swagger is alive

Swagger is alive

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2016
Messages
566
Likes
466
Points
80
Swagger is alive

Swagger is alive

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2016
566 466 80
Mkuu huwezi kununua show room gari ambayo imetumika coz gari huwa hazijasajiliwa so ni vigumu kutumika Bongo
 

Forum statistics

Threads 1,273,253
Members 490,339
Posts 30,475,425