Nini cha kufanya ukimfumania mkeo redhanded huku bado unampenda!!!!!

Acha tu!!! Huyo Bro wangu ni mtata, kidume cha mbegu!!! Ila alikuwa mdogooooo kama piriton! Au kuku alinyeshewa mvua! Michozi tu inamtoka kama mtoto mdogo! kabaki WHY ME GOD! WHY ME! WHAT HAVE I DONE THAT IS SO WRONG TO DESERVE ALL THIS?, si mtu wa church ila maandiko aliyakumbuka! Hayo maneno kayarudia zaidi ya mara 100. Acheni tu ndo nikajifunza cheating za BF na GF sio za kwenye ndoa!
usimtendee mtu kitu usichopenda kutendewa,ameona ubaya pale yalipomfika yeye ila mwanzo ilkuwa sawasawa tu.
 
Msamehe na usahahu kama wewe ni mkristo biblia inasema kwenye Mathayo 7:1 Msihukumu msije nanyi mkahukumiwa-------, wewe ungefumaniwa ungesamehewa lazima lakini ukifumaniwa wewe hutaki kusamehe kwamba ndo moyo wako unauma sana kuliko mwingine au?
 
Back
Top Bottom