Nini cha kufanya pale unapotapeliwa gari

Habari ya weekend wakuu,

Ni takribani miaka miwili nilimuazima ndugu yangu gari. Tunakaa mikoa miwili tofauti. Sasa tangu nimeanza kumuomba gari yangu, inaonyesha ni dhahiri moyo wako umekengeuka na hana dhamira ya kutaka kulirudisha gari langu. Ndugu wana JF naamini kabisa ntapata msaada wa kimawazo
Tumia piki piki!
 
Back
Top Bottom