NINI CHA KUFANYA NIMEIBIWA SIMU SAMSUNG S6

Risk vs Return

Senior Member
Apr 23, 2012
106
71
Wakuu salama,

Naomba msaada wenu wa haraka kuweza kupata hiyo simu yangu nimeibiewa muda mfupi tu

Polisi nimeshatoa taarifa, kwa sasa ukiipiga haiiti tena kama imeziwa, naomba taratibu za kufanya tafadhali
 
Nadhani uwasiliane na mtoa huduma wako...wanaweza kujua hata kama imebadilishwa line na inasoma signal toka wapi...pole sana
 
Haya maSamsung sijui ni vip hayanaga tech' ya kutrace device zao kama iPhone maana waweza kuta kauziwa shambashamba fulani siejua hiz mambo ye ni kuweka tu simcard yake kutumia we unatrace unakamata mtu faster ili mradi tu iwena access wireless/data switched on.
 
Back
Top Bottom