Nini cha kufanya na vyakula gani Mama mjamzito anatakiwa ale?

Kitangiri15

JF-Expert Member
Apr 30, 2015
348
731
Wadau namshukuru mungu kwamba mke wangu ni mjamzito.
SWALI. Je katika hatua za awali za ujauzito(2weeks--3months) Ni vitu gani ya muhimu vya kuzingatia Ili kumpa afya bora mama Na usalama WA mtoto tumboni?

Mfano: Chakula,vinywaji Na dawa za kutumia hususani anapoumwa malaria.
 
Muhimize awe anafanya mazoezi mara kwa mara, na ingependeza zaidi ungefanya nae hiko ndio kitu cha kwanza cha kuzingatia,
vile vile zingatia mlo kamili ila aepuke kula vyakula vitakavyompelekea mtoto akapata aleji au unene au uzito wa kupitiliza kwani itampelekea mke ajifungue kwa operation.
Vyakula ambavyo havipendi usimlazimishe sana, mboga za majani mpe kwa wingi ili kumuongezea damu ikiwezekana atumie dawa za kiswahili mfn mizizi au majani yanayosaidia kuongeza samu ili kuepukana na matatizo ya kuja kuongezewa damu nyakati za kujifungua(kuna kiwango kinachohitajika cha damu ili mama mjamzito aweze kujifungua)
mengine watakuja wajuzi zaidi.
 
A

Ahsante mkuu
 
Na je

Angalau ahudhurie kliniki mimba ikiwa Na miezi mingapi?
 
Miez 3_5 ya mwanzo afanye kazi nyepesi nyepesi,mazoezi haishauriwi sana mana inaweza msababishia mimba kutoka...ale matunda mboga za majan kwa wingi...clinic aanze haraka iwezekanavyo mana kama kuna tatizo liweze kugundulika mapema
 
Jambo la msingi na la maana mpeleke kliniki ya mama mjamzito mapema kadri iwezekanavyo..kule utapewa ushauri na kinga mbalimbali...
 
A
Miez 3_5 ya mwanzo afanye kazi nyepesi nyepesi,mazoezi haishauriwi sana mana inaweza msababishia mimba kutoka...ale matunda mboga za majan kwa wingi...clinic aanze haraka iwezekanavyo mana kama kuna tatizo liweze kugundulika mapema
shukrani
 
Ale vyakula vyote ambavyo vinajenga mwili kama havimpi tabu, samaki,maziwa,dagaa,mboga za majani,matunda kwa wingi,maji mengi,apate muda mzuri wa kupumzika kwani miezi ya mwanzo risk ya miscarriage ni kubwa, sikushauri kutumia mizizi(mitishamba) kama Stunter alivyokushauri. Aanze clinic kule atapewa maelekezo ya zaidi. Hongereni sana
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom