Nini cha kufanya kuepusha mgonjwa wa Kisukari asikatwe kiungo cha mwili?

Alitun

Alitumia dawa gani
Atumie kirutubisho chenye seli shina yaani Stem cell atapona haki. Nirushie namba yako kwenye siku yangu 0629 057864 ili nikupe maelezo zaidi na shuhuda za waliopona na kuepuka kukatwa miguu licha yakuanza kupata vidonda
 
wagonjwa wengi eanafikia hiyo hali ni wale wabishi wa kutumia dawa, yaani wanajifanya wanajua, au ndugu zao wabishi, au kufanganya na watu wa tiba asili (si wote wa tiba asili waongo, wapo waliosahihi na matibabu).

Sasa unakuta mgonjwa kama huyo sukari iko juu, na hataki kufuata ushauri wa wataalamu. Mwingine anasema kabisa mimi sukari yangu hata ikiwa 14 hainisumbui eti kisa haoni dalili yoyote mbaya. Akipangiwa dozi na yeye anapanga ya kwake. Sasa siku mambo yakiharibika na sukari haikai sawa ndio yanakuwa hayo.

Yaani waafrika wengi tunakufa mapema kwa kudharau taaluma za watu, na ubishi mwingi.
 
Kuna kirutubisho kizuri cha kicontrol sukari kinaitwa GLUCOGONE. Wahanga tumieni.
 
Daktari aliesema akatwe mguu nianafanya kazi hospital ya serikal niulize nmejuajee ( go private NSK arusha)
 
Back
Top Bottom