Nini cha kufanya kuepusha mgonjwa wa Kisukari asikatwe kiungo cha mwili?


Z

Zuckerman

Senior Member
Joined
Jun 14, 2016
Messages
172
Points
250
Age
29
Z

Zuckerman

Senior Member
Joined Jun 14, 2016
172 250
Mara nyingi watu wenye kisukari hupata complications ya kupata madhara kwenye neva/mishipa ya damu ya miguuni.

Complication hii hupelekea asiweze kuhisi (anapata ganzi) chochote huko miguuni. Kwa hiyo hata akijikata, akipata mchubuko hatahisi maumivu yoyote.

Na mara nyingi akipata hata kamchubuko hakatapona bali kataendelea kukua na kuwa kidonda kamili sababu hamna blood supply ya kutosha maeneo hayo.

Hivi vidonda huwa ni hatari sana sabab vinaweza kusababisha ascending infections na kupelekea muhusika kupata maradhi mengine.

Kwa hiyo matibabu mazuri zaidi huwa ni kukata mguu husika kwa sababu hivi vidonda huwa haviponi. Huendelea kukua na vinaweza kutafuna mguu wote.

Ni vizuri mkawahi kuukata kwa sababu jinsi mnavyozidi kuchelewa mishipa ya damu inaendelea kuathirika kwenda juu zaidi na itapelekea mguu kukatwa juu zaidi.

The early amputation is the best one.
Diabetic foot ulcer
 
NZURI PESA

NZURI PESA

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2011
Messages
5,891
Points
2,000
NZURI PESA

NZURI PESA

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2011
5,891 2,000
Naweza kupata mawasiliano ya hao wataalamu..?
Mkuu tafuta majani ya mlonge robo kg + mbengu 15 za mlonge twanga kwa psmoja tumivktk uji,chai isiyo na sukari kijiko kidogo kimoja jutwa Mara 2
 
George Betram

George Betram

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2015
Messages
2,666
Points
2,000
Age
25
George Betram

George Betram

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2015
2,666 2,000
Mkuu tafuta majani ya mlonge robo kg + mbengu 15 za mlonge twanga kwa psmoja tumivktk uji,chai isiyo na sukari kijiko kidogo kimoja jutwa Mara 2
Mkuu kuna uzi wa MziziMkavu niliupitia, unasema mlonge haufai kwa matumizi ya binadamu kwa sababu una acid..!
 
M

Ms mol

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2017
Messages
1,740
Points
2,000
M

Ms mol

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2017
1,740 2,000
ndio nasikia leo kuwa mlonge haufai kwa matumizi ya binadamum
 
Papaa Kinyani

Papaa Kinyani

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2013
Messages
1,485
Points
2,000
Papaa Kinyani

Papaa Kinyani

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2013
1,485 2,000
Ni takribani mwezi mmoja na nusu tangu Aunt yangu azidiwe na ugonjwa wa Kisukari.
Hali ilianza kuwa mbaya alivyopata kidonda mguuni (maeneo ya kifundo cha mguu), kidonda hicho kilianza kama lengelenge tu.
Wiki iliyopita tulimpereka hospital baada ya hali kuwa mbaya,amelazwa hapo hospital wiki nzima.
Leo daktari amepima mguu amesema inatakiwa mguu ukatwe,kwani umepoteza mawasiliano.
Inanitisha na kunipa wasiwasi sana wakuu,hivi kweli hakuna njia nyingine ya kumsaidia Aunt yangu zaidi ya kukatwa mguu???

Nahitaji mawazo yenu juu ya hili jambo wakuu,mara ya mwisho kupimwa kiwango cha sukari mwilini ni leo asubuhi amekutwa na sukari 12.
Kama bado hajakatwa mguu nitafute tumsaidie. 0715274727
 
M

Mangachini

Senior Member
Joined
Mar 24, 2014
Messages
100
Points
225
M

Mangachini

Senior Member
Joined Mar 24, 2014
100 225
Alitun

Alitumia dawa gani
Atumie kirutubisho chenye seli shina yaani Stem cell atapona haki. Nirushie namba yako kwenye siku yangu 0629 057864 ili nikupe maelezo zaidi na shuhuda za waliopona na kuepuka kukatwa miguu licha yakuanza kupata vidonda
 
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,089
Points
2,000
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,089 2,000
Dr Sebi on Moringa MLONGE HAUFAI KIMATIBABU.ANGALIA VIDEO.
 
ISLETS

ISLETS

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2012
Messages
7,568
Points
2,000
ISLETS

ISLETS

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2012
7,568 2,000
wagonjwa wengi eanafikia hiyo hali ni wale wabishi wa kutumia dawa, yaani wanajifanya wanajua, au ndugu zao wabishi, au kufanganya na watu wa tiba asili (si wote wa tiba asili waongo, wapo waliosahihi na matibabu).

Sasa unakuta mgonjwa kama huyo sukari iko juu, na hataki kufuata ushauri wa wataalamu. Mwingine anasema kabisa mimi sukari yangu hata ikiwa 14 hainisumbui eti kisa haoni dalili yoyote mbaya. Akipangiwa dozi na yeye anapanga ya kwake. Sasa siku mambo yakiharibika na sukari haikai sawa ndio yanakuwa hayo.

Yaani waafrika wengi tunakufa mapema kwa kudharau taaluma za watu, na ubishi mwingi.
 

Forum statistics

Threads 1,294,041
Members 497,789
Posts 31,163,128
Top