Nini cha kufanya kabla hujanunua kiwanja?

Entreprenuare

JF-Expert Member
Aug 24, 2019
1,616
1,714
Naomba kufahamishwa vitu gani vya muhimu sana kabla hujanunua kiwanja, ili kuepuka utaperi wa aina yoyote ule, au kuuziwa kiwanja ambacho teyari kimetengwa kwa ajili ya matumizi ya Serikali...
 
Ukisikia kwenda Chaka ndio huku.

Umetema madini ila sio hitaji la muuza swali. Kama ni mtihani hapa ungepata zero sio kwamba umeandika uongo ila umeandika umweli usioendana na swali.
 
Back
Top Bottom