MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 27,574
- 29,959
Kwanza nipende kusema kuwa kila zuri lina ubaya wake,
Nasema zuri kwakuwa wengi wa raia wa uingereza wameamua hivyo,
Lakini je zuri hilo lina ubaya wake?
na nikwa waingereza pekee?
jibu ni hapana wengi wata athirika .
Kuathirika kutatofautiana na ukubwa pia na utegemezi wa nchi.
Kwahapa East Afrika nchi itakayo athirika zaid ni Kenya,
Kwanini nasema Kenya!
Mara baada ya kutangazwa kwa matokeo hayo nimemuona Gavana wa Benk kuu ya kenya haraka sana
Akitoa kauli ya mipango ya kujihami na hilo,
Hasa akisema atajitahidi kudhibiti sh ya kenya isiporomoke zaidi,
japo najua kuporomoka lazima.
Nimejiuliza sana kwanini Gavana wa benki kuu ya Kenya kawa faster hivi kulikoni?
Nikakumbuka kuwa
1. Kenya inauza maua kwa kiasi kikubwa ulaya na asilimia kubwa ya soko lamaua ni Uingereza
2. Kama ilivyo namba moja Kenya inapeleka na kuuza sana majani ya chai
Na soko kubwa la bidhaa hiyo ni uingereza
3. Kenya ndio nchi inayo pokea kiwango kikubwa cha misaada kutoka Uingereza
4. Hapa inajumuisha nchi zote ,
Kwa wafanya biashara wote hapa lazima kutakuwa na usumbufu wa kuingia ulaya
Unapo kuwa na shida ulaya na uingereza itakulazimu kutafuta hati zakusafiria mbili tofauti
Yaani kama ilivyo sasa
Ukiwa uingereza utakwenda ufaransa bila tatizo lakini
Hapo baadae haitakuwa hivyo
Hii italeta usumbufu kwa nchi nyingi sana.
Mwisho nikuwa kujitenga naona kuna athari nyingi kuliko kuwa pamoja
Hayo ni maoni yangu tu