Nini Ambacho Familia ya Mandela Imeficha Ulimwengu Katika Hatua ya Mwisho ya Mazishi

peche luke

JF-Expert Member
Sep 8, 2013
365
106
Sijambo la kawaida kwa Waafrika kufanya shughuli za kuzika kuwa za kifamilia tu na baadhi ya waalikwa wa chache. Mambo haya tumezoea kuyaona huko ulaya na Amerika zaidi.

Bado na tafakari kwa nini kwa haya Mazishi ya Mandela familia wamezuia hata matangazo ya media mbalimbali kuonyesha hatua ya mwisho ya kurudi kwake kwenye udongo? Maandiko yana sema ulitoka kwa udongo utarudi kwa udongo, tatizo liko wapi hapa kuonekana ukirudi kwa udongo?
 
Kukosa kazi ya kufanya ndio huku. Wewe nani mwenye uwezo wa kuhoji maamuzi ya familia yako?
 
Daaah henda kazikwa na bnadam mzma eeeeeh

wazungu hata kama wamezuiwa kuonyesha au kushuhudia lakin lazima watakuwa wameona na marada yao! watatupa feedback siku zijazo! lakin kuna taarifa kuwa familia ya madiba walikuwa 15 wakati wanaenda makaburin lkn ajabu wakati wanarudi baada ya kuzika wakawa 14! Mm na wewe hatujui huyo mmoja kaenda wapi!
 
Back
Top Bottom