Ningetamani haya yatokee Tanzania

Kingdom Finder

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
1,119
1,388
Kuna uchaguzi umefanyika Marekani katika Jimbo la Albama na mtu aliyeshinda ni wa Chama cha Democratic.

Mheshimiwa Trump amempongeza kwa ushindi wake pamoja na kwamba ni wa chama kingine. Je haya yanaweza kutokea Tanzania?

Ninatamani kuyaona haya kwenye nchi yangu. Tanzania ni ya waislam na wakristo. Dini zote tunajifunza kupendana lakini mbona tunaona mambo ya kishetani kwenye chaguzi zetu.

Ni lini sisi tutakuwa na roho ya upendo au ndyo tuseme pamoja na dini zetu, ushetani ndiyo ulioko mioyoni mwetu. Tusitegemee kuwa na maendeleo kwa siasa za chuki. Siku tutakapojifunza kupendana na kuheshimiana ndiyo siku tutaona maendeleo katika nchi yetu.

Ninawasihi watanzania tujifunze kupendana, tuondoe ushetani na ubinafsi nafsini mwetu. Kuna mataifa ambayo hata dini hawana lakini wanapendana na wana maendeleo. Sisi shida yetu ni nini?
 
Sisi shida yetu ni u Africa. Na kwa mwafrika uongozi ni ufalme & utemi. Hakuna kuhoji wala Kukosoa ni kusifu na kuabudu .

America hawawezi kushinikiza democracy ya kweli hapa kwetu . Kwani wanafaidika na uwepo wa hawa jamaa madarakani
 
Kuna uchaguzi umefanyika Marekani katika Jimbo la Albama na mtu aliyeshinda ni wa Chama cha Democratic.

Mheshimiwa Trump amempongeza kwa ushindi wake pamoja na kwamba ni wa chama kingine. Je haya yanaweza kutokea Tanzania?

Ninatamani kuyaona haya kwenye nchi yangu. Tanzania ni ya waislam na wakristo. Dini zote tunajifunza kupendana lakini mbona tunaona mambo ya kishetani kwenye chaguzi zetu.

Ni lini sisi tutakuwa na roho ya upendo au ndyo tuseme pamoja na dini zetu, ushetani ndiyo ulioko mioyoni mwetu. Tusitegemee kuwa na maendeleo kwa siasa za chuki. Siku tutakapojifunza kupendana na kuheshimiana ndiyo siku tutaona maendeleo katika nchi yetu.

Ninawasihi watanzania tujifunze kupendana, tuondoe ushetani na ubinafsi nafsini mwetu. Kuna mataifa ambayo hata dini hawana lakini wanapendana na wana maendeleo. Sisi shida yetu ni nini?

Shida yetu ushamba!
 
Umesahau kua Serikali haina dini? Maana yake unapokuwa kwenye serikali dini zenu mueke Pembeni.
Lakini marekani Pesa zao zimeandikwa " We trust on God""
 
Hayo labda paka Yesu arudi.....asimamie uchanguzi mwenyewe lkn ni bado tena sana
 
Back
Top Bottom