Ningependa kumjua msemaji rasmi wa wakazi wa Dar es Salaam

Mstahiki Meya ni mtu mkubwa sana Marekani. Kwenye himaya yake kiongozi yeyote ambaye hana ridhaa ya wananchi (hakupigiwa kura) anawajibika kwake hata kama kateuliwa na shetani.
Mzee mbona unakuwa mzito kuelewa?
Meya wa London anapigiwa kura kabisa na wana London katika uchaguzi wa mameya, je Tz umeona lini Meya kachaguliwa na wananchi? Tz Meya anachaguliwa na madiwani na sio wananchi, kama ilivyo kwa Spika tunasema sio kiongozi wa kuchaguliwa na wananchi bali na wabunge vivyo hivyo Meya anachaguliwa na madiwani na sio wananchi.

Mnatumia nguvu kubwa kupotosha badala ya kujenga hoja hadi wote mnaonekana akili sawa na Lema tu.
 
..mag3 Una hoja nzito lakini naona imeingiliwa tayari na mbwa mwitu wenye kuwatetea watawala wanaopoka madaraka ya meya ambaye ndie mwenye sauti ya wanajiji.....huu ndio ukweli usiopingika.....tumezoea kumwona bashite anajinadi kuwasemea wana Dar lakini huo si wajibu wake...yeye anatakiwa asimamie mipango ya serikali(aliyemteua) hapo mkoani....na si kuwa msemaji wa wana jiji kama anavyofanya.....shida tuko nayo kubwa....maana hawa mchwa wala haiwaingii hii....maana wamelewa madaraka... Sad....
 
Back
Top Bottom