mtanzania1989
JF-Expert Member
- May 20, 2010
- 4,064
- 6,733
Mzee mbona unakuwa mzito kuelewa?Mstahiki Meya ni mtu mkubwa sana Marekani. Kwenye himaya yake kiongozi yeyote ambaye hana ridhaa ya wananchi (hakupigiwa kura) anawajibika kwake hata kama kateuliwa na shetani.
Meya wa London anapigiwa kura kabisa na wana London katika uchaguzi wa mameya, je Tz umeona lini Meya kachaguliwa na wananchi? Tz Meya anachaguliwa na madiwani na sio wananchi, kama ilivyo kwa Spika tunasema sio kiongozi wa kuchaguliwa na wananchi bali na wabunge vivyo hivyo Meya anachaguliwa na madiwani na sio wananchi.
Mnatumia nguvu kubwa kupotosha badala ya kujenga hoja hadi wote mnaonekana akili sawa na Lema tu.