Ningependa kukaa hapa na glass ya wine

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,564
215,041
1627437484177.png
 
Takwimu zinasema kuna idadi ya wanaume wengi waliokufa Grand Canyon kwakua walisimama ukingoni mwa kilele na kukojoa. Hii ilisababisha wakose balansi na kuanguka.

And they weren't holding a glass of wine. Mi bado nakupenda usifanye hivyo.
 
Yani ukae juu ya jiwe hizi adventure zingine mtakuja mfe! Uache kukaa kwako ukae juu ya jiwe sehemu ya hovyo namna hio😅.

Haya mambo wenzetu wana guts ya kuyafanya sababu hata wakifa watoto watalelewa na serikali tena kwa mazingira bora kuliko hata wao!

Unateseka na tozo na kuhangaikia kulisha familia hilo wazo litatoka wapi aisee😝
 
Takwimu zinasema kuna idadi ya wanaume wengi waliokufa Grand Canyon kwakua walisimama ukingoni mwa kilele na kukojoa. Hii ilisababisha wakose balansi na kuanguka.

And they weren't holding a glass of wine. Mi bado nakupenda usifanye hivyo.
Ataweza akiamua.
Kjeragbolten hapana history ya vifo isipokuwa mmoja alienda kwa lengo la kujiua, tofauti na hapo ni salama kabisa.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom