Ningependa kujua kabla hujamvua mtu ubunge,hakuna labda warning letter ama discpinary procedure..??

Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
14,840
31,583
Hello JF,

Ningependa kujua kabla hujamvua mtu ubunge,hakuna labda warning letter ama discpinary procedure..??

Nna maana Nassari alizi ignore hizi procedure??

Kama amevuliwa bila kuzingatia procedure,

Je, spika ana mamlaka hayo ya kumvua ubunge mtu bila kufata utaratibu?
 
hello JF,

ningependa kujua kabla hujamvua mtu ubunge,hakuna labda warning letter ama discpinary procedure..??

ina maana Nassari alizi ignore hizi procedure??

kama amevuliwa bila kuzingatia procedure,

je spika ana mamlaka hayo ya kumvua ubunge mtu bila kufata utaratibu?
Fununu ni kua hakuna barua yeyote ambayo bunge lilimtumia,pia kikao cha nov 2018 alihudhuria bungeni kwahiyo hajakosa vikao 3 ni figisu za cd4 sugu na jiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hello JF,

ningependa kujua kabla hujamvua mtu ubunge,hakuna labda warning letter ama discpinary procedure..??

ina maana Nassari alizi ignore hizi procedure??

kama amevuliwa bila kuzingatia procedure,

je spika ana mamlaka hayo ya kumvua ubunge mtu bila kufata utaratibu?
Mkuu embu jaribu 'kubalansi' maelezo ya Spika, Nassari mwenyewe na wazee wa kimila huko kwao.

Hako kamheshimiwa ni katoro kazoefu, zaidi ya miezi 9, kweli!

Kwa muda huo wa utoro wake ni muda wa kutungwa kwa mimba hadi kujifungua.

Inasemekana kwa mujibu wa maelezo ya watu wa kwao, baada ya kumjaza ujauzito, alipenda mkewe akajifungulie USA ili mtoto huyo asajiliwe uraia wa huko!

Hako kamheshimiwa kana mapenzi ya kicheche, kakiishakumtia mimba mkewe hakataki kumuacha peke yake hata umbali wa futi1 ni kaking'ang'anizi mbwa!

Hivi kwa kanuni za kawaida za watumishi wa umma, unaweza ukasafiri nje ya nchi bila mkuu wako wa kazi kufahamu?

Ama ni sahihi kuomba ruhusa kwa njia ya barua wakati tayari ulikwishaondoka?

Kwao huko Arumeru wamesherehekea kufukuzwa kwake baada ya kupima madhaifu yake na kujiridhisha.

Kwa hiyo hilo ni lake na hakuna namna nyingine ya kumsaidia, amestahili alichokitafuta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nadhani taratibu za maonyo huwa zinatolewa na aikiwa na barua za kutaka kusikia toka kwake ila kwake sijawahi sikia kama kapewa barua ama kulalamikiwa utoro ila baadhi ya wabunge fkani flani huko nyuma niliwahi sikia ni watoro ila walikuwa wanajulikana walipo buti walilalamikiwa utoro ila kw ahuyo bwana mdogo sijui nini kipo nyuma ya pazia ,
naanini siasa ya Tanzania kwasasa inamtaalamu mkubwa wa propaganda sasa ni umakini unahitajika ili kuweza kujua haya mambo
 
Kwa sheria za nchi spika ana mamlaka ya kumvua ubunge muheshimiwa ambaye kazingua sana bila hata kumpa taarifa kwamba anafanya maamuzi hayo kama sijakosea ni sheria namba 71 kama sijaingia chaka au choo cha kike maana nipo mbali na katiba yangu nimeiacha home ila pia mtumishi yeyote wa umma anapopata dharura lazima taarifa imfikie boss wake na ofisi yake au hata chama chake cha siasa basi kingemkingia kifua kwa mabosi zake kwa kupeleka barua ya dharura lakini kweli mtu unatuma email???? hii hii email unamtumia bosi wako anayeidhinisha mshahara wako kisheria unamtumia email tena umeshafanya maamuzi na tayari umeshafika marekani, je hiyo email bosi akisema kuwa sijaafiki rudi haraka kazini nini kitafuata baada ya maamuzi ya kwenda mwenyewe??? Nassari kazingua na pia uongozi mzima wa chama umezingua saaana maana kama uongozi wa chama ulikuwa na taarifa hizo za mwanachama wake kupata matatizo kwanini hawakuiandikia ofisi ya bunge barua kuwajulisha kuhusu hali ya mwanachama wao... wote wamezingua bora amevuliwa tu though mimi ni hasimu mkubwa saaaaaaaaaaaana wa CCM tena nawachukia kupita maelezo ila kwa hili Nassari kabugi
 
Mkuu nita 'like-je' sasa!

Umetiririka vizuri mno, kimekuja kunikwamisha kipengele cha mwisho cha kuonesha chuki yako ya wazi wazi.

Nilitaka kubonyeza 'like' wakati namalizia kusoma, ndiyo nikakumbana na huo usisiem na uchadema, nikanywea!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmnh kwa hio ishu ni email?? watanzania wenzangu hii ni aibu,mbona watu wanatumiana e-mail za kazini?? intra-email , wengine wana schedule mikutano through email,sasa leo huyu kutuma email imekua tatizo…??? Mie ningependa kujua taratibu za bunge,kama email haiko kwenye taratibu za mawasiliano ya bunge.?
 
Tatizo ni kwa nini atake ntoto wake akazaliwe Marekani wakati swala la urai pacha halija kaa poa.

Anataka kutuletea ma-Gorbachev hapa sio?

Tusiojulikana tumeliona hilo.

Hivi hakukutana na mzee wa 16 shots kweli?

Kama ndio,acha niunganishe dots.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom