Ningependa kujua Ada ya Shule hizi za Sekondari

muuza ubuyu

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
3,511
3,477
Wakuu habari. Nina binti yangu hapa yupo darasa la sita miaka 2 ijayo atakuwa anaingia ngazi elimu ya secondary.

Kwa sasa nimeanza kujiandaa kuhakikisha anazidi kuwa na uelewa mzuri wa darasani ili aweze kufaulu vizuri mitihani yake ya mwisho na ile ya kujiunga shule bora kwa elimu ya secondary (O level).

Kwa maana hiyo ningependa kuulizia ada (full package na michango mingine ikiwezekana) kwa shule zifuatazo: -

1. Precious Blood Secondary school
2. Anwarite Girls Secondary School
3. Kifungilo Girls Secondary School
4. St. Mary's Mazinde Juu Secondary School
5. St . Marie Eugenie Secondary School
6. Cannosa Secondary School
7. St. Mary Goreti Secondary School
8. St. Monica Moshono Girls' Secondary School
9. Bethel Sabs Girls Secondary School
10. Marian Girls Seconday School
11. St. Francis Girls

Kwa namna ambavyo nimezifuatilia hizi shuke kwa muda mrefu, nahitaji binti aje asome kati ya shule hizi. Mpaka sasa naendelea kumjengea mzingira ya kufaulu mitihani yao ( uwezo anao).

Je, mnaweza kushare gharama zao ili nijue ni kiasi gani ili niendelee kujiandaa vizuri.

Asanteni.

=====

Maoni ya wadau:

Mkuu nenda na namba 1,2, 4, 6, na 11. Pia Ongeza Bright Future. Kabla ya kuuliza Ada kazana kumuandaa huyo binti yako. Kuzipata shule shule hizo ni lazima mtoto awe very bright na well prepared in Maths and Science and General Studies combined.

Ada zao jiandae kuanzia 4-4.5 million kwa nyingi. Ila pia nenda hizo shule ulizia current Ada watakupa clue. Ila pia kama binti yako yuko average basi hakikisha pia anafanya interview kwa shule nilizoacha hapo kwenye orodha yako, ongeza na nyingine nzuri angalia trend ya F4 results.

Ukiegemea sana top schools unaweza kujikita mtoto hajapata hata moja na interview pia zimepita shule nyinginezo. Hapo mzazi unachanganyikiwa sana. Pia kuwa makini na tarehe za interview, maana huwa zinagongana baadhi ya shule hivyo ni kufanya maamuzi sahihi kabisa wakati wa kuchukua form.

Miaka miwili hii hakikisha mtoto anapata usaidizi mkubwa mno kwenye masomo shuleni na extra akiwa nyumbani.

All the best.
 
Wapo mtandaoni. Wana namba za simu. Ni wewe tu kupiga simu na kuulizia bei zao. Simple eeeh!?
Nashukuru kwa ushauri mkuu, ila kama unataarifa pia hautapungukiwa kitu uki-share.

Japo pia samahani kama post yangu imeku-irritate!

Namala ommayu!
 
Wakuu habari. Nina binti yangu hapa yupo darasa la sita miaka 2 ijayo atakuwa anaingia ngazi elimu ya secondary.

Kwa sasa nimeanza kujiandaa kuhakikisha anazidi kuwa na uelewa mzuri wa darasani ili aweze kufaulu vizuri mitihani yake ya mwisho na ile ya kujiunga shule bora kwa elimu ya secondary (O level).

Kwa maana hiyo ningependa kuulizia ada (full package na michango mingine ikiwezekana) kwa shule zifuatazo: -

1. Precious Blood Secondary school
2. Anwarite Girls Secondary School
3. Kifungilo Girls Secondary School
4. St. Mary's Mazinde Juu Secondary School
5. St . Marie Eugenie Secondary School
6. Cannosa Secondary School
7. St. Mary Goreti Secondary School
8. St. Monica Moshono Girls' Secondary School
9. Bethel Sabs Girls Secondary School
10. Marian Girls Seconday School
11. St. Francis Girls

Kwa namna ambavyo nimezifuatilia hizi shuke kwa muda mrefu, nahitaji binti aje asome kati ya shule hizi. Mpaka sasa naendelea kumjengea mzingira ya kufaulu mitihani yao ( uwezo anao).

Je, mnaweza kushare gharama zao ili nijue ni kiasi gani ili niendelee kujiandaa vizuri.

Asanteni.
Mkuu nenda na namba 1,2, 4, 6, na 11. Pia Ongeza Bright Future. Kabla ya kuuliza Ada kazana kumuandaa huyo binti yako. Kuzipata shule shule hizo ni lazima mtoto awe very bright na well prepared in Maths and Science and General Studies combined.

Ada zao jiandae kuanzia 4-4.5 million kwa nyingi. Ila pia nenda hizo shule ulizia current Ada watakupa clue. Ila pia kama binti yako yuko average basi hakikisha pia anafanya interview kwa shule nilizoacha hapo kwenye orodha yako, ongeza na nyingine nzuri angalia trend ya F4 results.

Ukiegemea sana top schools unaweza kujikita mtoto hajapata hata moja na interview pia zimepita shule nyinginezo. Hapo mzazi unachanganyikiwa sana. Pia kuwa makini na tarehe za interview, maana huwa zinagongana baadhi ya shule hivyo ni kufanya maamuzi sahihi kabisa wakati wa kuchukua form.

Miaka miwili hii hakikisha mtoto anapata usaidizi mkubwa mno kwenye masomo shuleni na extra akiwa nyumbani.

All the best.
 
Mkuu nenda na namba 1,2, 4, 6, na 11. Pia Ongeza Bright Future. Kabla ya kuuliza Ada kazana kumuandaa huyo binti yako. Kuzipata shule shule hizo ni lazima mtoto awe very bright na well prepared in Maths and Science and General Studies combined. Ada zao jiandae kuanzia 4-4.5 million Kwa nyingi. Ila pia nenda hizo shule ulizia current Ada watakupa clue. Ila pia kama binti yako yuko average basi hakikisha pia anafanya interview kwa shule nilizoacha hapo kwenye orodha yako Ongeza na nyingine nzuri angalia trend ya F4 results. Ukiegemea Sana top schools unaweza kujikita mtoto hajapata hata Moja na interview pia zimepita shuke nyinginezo. Hapo mzazi unachanganyikiwa sana. Pia kuwa Makini na tarehe za interview maana huwa zinagongana bàadhi ya shule hivyo ni kufanya maamuzi sahihi kabisa wakati wa kuchukua form. Miaka miwili hii hakikisha mtoto anapata usaidizi mkubwa mno kwenye masomo shuleni na extra akiwa nyumbani.
. All the best.
Mkuu Zogwale nashukuru sana kwa ufafanuzi wako mujarabu pamoja na kunitia moyo! Nitazingatia suala hili hasa katika kumjengea uelewa zaidi katika masomo yake.

Nafurahi kujua kwamba ada ni kawaida sema ni mtoto tu awe na uwezo hivyo nitajitadi kuendelea kum-guide katika masomo yake ya sasa nikishirikiana na walimu wake.

Nashukuru sana!
 
Wakuu habari. Nina binti yangu hapa yupo darasa la sita miaka 2 ijayo atakuwa anaingia ngazi elimu ya secondary.

Kwa sasa nimeanza kujiandaa kuhakikisha anazidi kuwa na uelewa mzuri wa darasani ili aweze kufaulu vizuri mitihani yake ya mwisho na ile ya kujiunga shule bora kwa elimu ya secondary (O level).

Kwa maana hiyo ningependa kuulizia ada (full package na michango mingine ikiwezekana) kwa shule zifuatazo: -

1. Precious Blood Secondary school
2. Anwarite Girls Secondary School
3. Kifungilo Girls Secondary School
4. St. Mary's Mazinde Juu Secondary School
5. St . Marie Eugenie Secondary School
6. Cannosa Secondary School
7. St. Mary Goreti Secondary School
8. St. Monica Moshono Girls' Secondary School
9. Bethel Sabs Girls Secondary School
10. Marian Girls Seconday School
11. St. Francis Girls

Kwa namna ambavyo nimezifuatilia hizi shuke kwa muda mrefu, nahitaji binti aje asome kati ya shule hizi. Mpaka sasa naendelea kumjengea mzingira ya kufaulu mitihani yao ( uwezo anao).

Je, mnaweza kushare gharama zao ili nijue ni kiasi gani ili niendelee kujiandaa vizuri.

Asanteni.
Ingia kwenye website zao au nenda shule husika moja kwa moja. Humu kuna watu wana stress, watakutukania wazazi wako bure, ilhali huna kosa lolote
 
Wakuu habari. Nina binti yangu hapa yupo darasa la sita miaka 2 ijayo atakuwa anaingia ngazi elimu ya secondary.

Kwa sasa nimeanza kujiandaa kuhakikisha anazidi kuwa na uelewa mzuri wa darasani ili aweze kufaulu vizuri mitihani yake ya mwisho na ile ya kujiunga shule bora kwa elimu ya secondary (O level).

Kwa maana hiyo ningependa kuulizia ada (full package na michango mingine ikiwezekana) kwa shule zifuatazo: -

1. Precious Blood Secondary school
2. Anwarite Girls Secondary School
3. Kifungilo Girls Secondary School
4. St. Mary's Mazinde Juu Secondary School
5. St . Marie Eugenie Secondary School
6. Cannosa Secondary School
7. St. Mary Goreti Secondary School
8. St. Monica Moshono Girls' Secondary School
9. Bethel Sabs Girls Secondary School
10. Marian Girls Seconday School
11. St. Francis Girls

Kwa namna ambavyo nimezifuatilia hizi shuke kwa muda mrefu, nahitaji binti aje asome kati ya shule hizi. Mpaka sasa naendelea kumjengea mzingira ya kufaulu mitihani yao ( uwezo anao).

Je, mnaweza kushare gharama zao ili nijue ni kiasi gani ili niendelee kujiandaa vizuri.

Asanteni.
Precious blood 2.5m-3m huwa ina range hapo inabadilika kila mwaka inategemea
 
Anwarite tunalipa 2.1M Ada ya kawaida kabisa, ila kama mtoto wako hatakuwa vizuri jiandae kuitwa itwa sana huko Shuleni.

Na asipoendelea vizuri watakushauri umwamishe, hata katikati ya muhula.
 
Back
Top Bottom