Ningependa kubadilishana maarifa na wadau wengine kuhusu lugha ya Kiswahili

Fonimu

Member
May 20, 2018
28
27
Habari zenu Wanajukwaa?

Ninayofuraha kuandika katika jukwaa hili kwa siku ya leo.

Mimi ni mdau wa lugha ya Kiswahili, hivyo ningependa kubadilishana maarifa na wadau wengine kuhusu lugha hii.

Kwa muda mrefu nimekuwa nikifanya harakati za kukieneza Kiswahili, na sasa nimeona ni muda muafaka wa kuwatafuta wadau wengine wa Kiswahili ( Hasa Watanzania) ili kubadilishana maarifa.

Asanteni!
 
ok asante sna mkuu mm ningependa tukaanza ktk chimbuko la kiswahili
Habari zenu Wanajukwaa?

Ninayofuraha kuandika katika jukwaa hili kwa siku ya leo.

Mimi ni mdau wa lugha ya Kiswahili, hivyo ningependa kubadilishana maarifa na wadau wengine kuhusu lugha hii.

Kwa muda mrefu nimekuwa nikifanya harakati za kukieneza Kiswahili, na sasa nimeona ni muda muafaka wa kuwatafuta wadau wengine wa Kiswahili ( Hasa Watanzania) ili kubadilishana maarifa.

Asanteni!
asante sana kwa kusokeza mada hii.mm ningepeda tukaanza ktk chimbuk la kiswahili.
zipo nadharia tatu zinazoelezea chimbuko la kiswahili amabaz ni.
-kiswahili ni kikongo
-kiswahili chimbuko lake ni Afrika mashairik
-kiswahili chimbuko lake ni huko Kameruni.
 
Mimi mtunzi na mwandishi wa Riwaya, sasa hivi naendelea na riwaya yangu ya MZALENDO.
 
Back
Top Bottom