Ningeomba Hii iwafikie Woote...

733331b1805bc717c0df8a329caa0592.jpg

Wanaojibu hivyo kama ni wanaume basi ni
 
Yaani tabia hiyo inakera hasa hivi videmu vya mwendokasi vyanachuo au vilivyo graduate..!
Mfano hiki kimoja nakifukuzia nacho kinaandikaga hivyo sema naogopa kukaambia ngoja hiyo kesho ifike nikakatafune kisha nikape ukweli kasiwe kanaandika kifesibuku..!!!
Nyaambafff.!!!
we noooma sana!
 
Yaani hiyo tabia sijui huwa wanatoaga wapi, sio mwanaume hata mwanamke akiniandikia hivyo namdharau kabisaaa, huwa wanaudhi kweeli yaani.
Huwa napambana nao kweli na wengine siwajibu kabisa
 
Mimi huwa napata fukuto kabisa afu unakuta ni msomi wa elimu ya juu....mimi nakuambia tu ukinichukia nichukie
 
Mihuwa nachekukwa pale unapomtumia mtu sms yamaana alafu anakujibu p...kinacho fuatia hapo siku akinitumia sms namimi namjibu Q
 
Kama wewe ni Mwanaume,halafu nakutumia
message unanijibu kwa kutumia neno
Xawa, Xaxa, Xio, Xixi napenda kukutaarifu una dalili za
kuwa Mike Tyson wa Tanzania...How can you???
Kiswahili sahihi kipo tena rahisi tu, unashindwa nini
kusema Sawa, Sana, Sisi eti unatumia X...Kubwa zima,swagger zenu pelekeni huko huko, mnaiga
mambo yasiyo na msingi...Na hata wewe mwanamke
ukinitext Xawa, Xaxa sitakujibu...kama huwezi
kiswahili fasaha ulichofundishwa usinilete!Mambo
yenu ya tamthilia za marichui ziishie kwenu.Mnakera
mno na huu upuuzi!
Mungu bariki Kiswahili Fasaha!
kama ulikuwa kichwani mwangu, wanakera sana hawa nyau.
 
yule mzee wa kwenye sani alikuwa anaitwa nani vile?!yule akikuta unaharibu lugha anakuchapa
 
Mimi huwa wakinitumia sms za staili hiyo nauchuna wala hata simjibu awe mwanaume au mwanamke, sitaki maandishi ya kipuuzi mimi.
 
Unajua wengine Na vikatuni vyao mwanaume anakutumia emoji ya haina hii jaman wanaume kwel ????? Sio poa bhna.
 
Back
Top Bottom