Ningeomba Hii iwafikie Woote...

STUNTER

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
13,077
17,208
Kama wewe ni Mwanaume,halafu nakutumia
message unanijibu kwa kutumia neno
Xawa, Xaxa, Xio, Xixi napenda kukutaarifu una dalili za
kuwa Mike Tyson wa Tanzania...How can you???
Kiswahili sahihi kipo tena rahisi tu, unashindwa nini
kusema Sawa, Sana, Sisi eti unatumia X...Kubwa zima,swagger zenu pelekeni huko huko, mnaiga
mambo yasiyo na msingi...Na hata wewe mwanamke
ukinitext Xawa, Xaxa sitakujibu...kama huwezi
kiswahili fasaha ulichofundishwa usinilete!Mambo
yenu ya tamthilia za marichui ziishie kwenu.Mnakera
mno na huu upuuzi!
Mungu bariki Kiswahili Fasaha!
 
Awe demu au dume akiniandikia ayo ma xx siwez reply,.niki reply nampa somo jinsi ya kuandika
Ah, yani kuna wengine ni wasomi wa degree kabisa lakini bado wanatumia
 
Kama wewe ni Mwanaume,halafu nakutumia
message unanijibu kwa kutumia neno
Xawa, Xaxa, Xio, Xixi napenda kukutaarifu una dalili za
kuwa Mike Tyson wa Tanzania...How can you???
Kiswahili sahihi kipo tena rahisi tu, unashindwa nini
kusema Sawa, Sana, Sisi eti unatumia X...Kubwa zima,swagger zenu pelekeni huko huko, mnaiga
mambo yasiyo na msingi...Na hata wewe mwanamke
ukinitext Xawa, Xaxa sitakujibu...kama huwezi
kiswahili fasaha ulichofundishwa usinilete!Mambo
yenu ya tamthilia za marichui ziishie kwenu.Mnakera
mno na huu upuuzi!
Mungu bariki Kiswahili Fasaha!

kwanza sipendi mwanaume anayejibu kwa kifupi hivo eti thx? ndo nin..sipendi vile hawajui tuuu
 
Yupo mmoja hapa, 2nd year UG, aliniandikia hizo x, x zake! Sikumjibu. Nikafungasha virago vyangu!
 
Hahaha... Sasa nawaza inakuaje mtu anaacha S na kuandika X... What the hell
 
Kama wewe ni Mwanaume,halafu nakutumia
message unanijibu kwa kutumia neno
Xawa, Xaxa, Xio, Xixi napenda kukutaarifu una dalili za
kuwa Mike Tyson wa Tanzania...How can you???
Kiswahili sahihi kipo tena rahisi tu, unashindwa nini
kusema Sawa, Sana, Sisi eti unatumia X...Kubwa zima,swagger zenu pelekeni huko huko, mnaiga
mambo yasiyo na msingi...Na hata wewe mwanamke
ukinitext Xawa, Xaxa sitakujibu...kama huwezi
kiswahili fasaha ulichofundishwa usinilete!Mambo
yenu ya tamthilia za marichui ziishie kwenu.Mnakera
mno na huu upuuzi!
Mungu bariki Kiswahili Fasaha!
Yaani tabia hiyo inakera hasa hivi videmu vya mwendokasi vyanachuo au vilivyo graduate..!
Mfano hiki kimoja nakifukuzia nacho kinaandikaga hivyo sema naogopa kukaambia ngoja hiyo kesho ifike nikakatafune kisha nikape ukweli kasiwe kanaandika kifesibuku..!!!
Nyaambafff.!!!
 
Mimi text za hivyo huwa najibu 'sijaelewa' mpaka atakaposhtuka arebekibishe.
 
Kama wewe ni Mwanaume,halafu nakutumia
message unanijibu kwa kutumia neno
Xawa, Xaxa, Xio, Xixi napenda kukutaarifu una dalili za
kuwa Mike Tyson wa Tanzania...How can you???
Kiswahili sahihi kipo tena rahisi tu, unashindwa nini
kusema Sawa, Sana, Sisi eti unatumia X...Kubwa zima,swagger zenu pelekeni huko huko, mnaiga
mambo yasiyo na msingi...Na hata wewe mwanamke
ukinitext Xawa, Xaxa sitakujibu...kama huwezi
kiswahili fasaha ulichofundishwa usinilete!Mambo
yenu ya tamthilia za marichui ziishie kwenu.Mnakera
mno na huu upuuzi!
Mungu bariki Kiswahili Fasaha!
Na hili la R NA L ..
 
Back
Top Bottom