Ningekuwa Zitto...

Status
Not open for further replies.
VUTA-NKUVUTE

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
5,988
Likes
7,898
Points
280
VUTA-NKUVUTE

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
5,988 7,898 280
Kwanza, ningejitenga haraka na Matamko yote ambayo yanatolewa kwa ajili yangu kupinga Maamuzi ya Kamati Kuu ya chama changu cha CHADEMA.Sababu yangu ingekuwa moja. Kwamba,nilishaahidi kufuata taratibu za chama kumaliza jambo husika.Nisingekaa kimya hivi.

Pili, 'nisingewatuma' vijana toka Dar na kwingineko kwenda Kigoma na mikoa jirani kuchora picha ya kupinga ziara inayoendelea ya Katibu Mkuu wa CHADEMA,Dr.Wilbrod Slaa. Hii ni kwa sababu mbili. Kwanza, kwakuwa naonekana mkorofi na mpenda misifa kwa haya yanayotukia. Pili, ziara husika ilishapangwa zamani tu. Wala haifanyiki kunipinga mimi wala kuelezea maamuzi ya Kamati Kuu. Vijana hawa 'niliowatuma' wanaharibu kabisa badala ya kunilinda.

Tatu, kwa ziara hiyo ya Dr.Slaa kuchorwa kuwa ina wingu na kumbe ni uwongo mtupu,mimi kama Zitto naonekana kuwa si maarufu kuliko chama. Naonekana kama wakawaida sana na chama kitasonga hata kama nitafukuzwa kabisa. Kigoma imekataa kuongopewa juu yangu. Sasa imejua kuwa taratibu za chama zinafuatwa.

Nne, ningewakoromea wana-CCM wote wanaojipambanua kama wapiganaji wangu. Mimi Zitto si CCM.Mimi ni CHADEMA.Kwanini wanishabikie hivi? Kukaa kimya kwangu bila mkwara wowote kwa 'mamluki' wa CCM hasa wale waliofukuzwa CHADEMA ni kukubali kuwa nahusika nao na yasemwayo ni kweli.

Tano, ningesubiri taratibu za chama zifuatwe ili nijue hatima yangu. Mambo yatakwenda vyema tu kichama.Ningeamini hivyo toka mwanzo hadi mwisho.
 
Baiskeli

Baiskeli

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2010
Messages
336
Likes
7
Points
35
Baiskeli

Baiskeli

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2010
336 7 35
Mkuu katika watu niliokuwa nawakubali ni zitto lkn kwa haya anayoyafanya sina hamu na siasa.
 
VUTA-NKUVUTE

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
5,988
Likes
7,898
Points
280
VUTA-NKUVUTE

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
5,988 7,898 280
Mkuu katika watu niliokuwa nawakubali ni zitto lkn kwa haya anayoyafanya sina hamu na siasa.
Kwakweli,kwasasa Zitto hafai
 
palalisote

palalisote

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2010
Messages
8,346
Likes
60
Points
0
palalisote

palalisote

JF-Expert Member
Joined Aug 4, 2010
8,346 60 0
yaani kwa hili alilofanya akiwa bado hajajibu hata mashitaka 11 ni dhahiri atafukuzwa CHADEMA
 
PhD

PhD

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2009
Messages
3,895
Likes
1,045
Points
280
PhD

PhD

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2009
3,895 1,045 280
Kwanza, ningejitenga haraka na Matamko yote ambayo yanatolewa kwa ajili yangu kupinga Maamuzi ya Kamati Kuu ya chama changu cha CHADEMA.Sababu yangu ingekuwa moja. Kwamba,nilishaahidi kufuata taratibu za chama kumaliza jambo husika.Nisingekaa kimya hivi.

Pili, 'nisingewatuma' vijana toka Dar na kwingineko kwenda Kigoma na mikoa jirani kuchora picha ya kupinga ziara inayoendelea ya Katibu Mkuu wa CHADEMA,Dr.Wilbrod Slaa. Hii ni kwa sababu mbili. Kwanza, kwakuwa naonekana mkorofi na mpenda misifa kwa haya yanayotukia. Pili, ziara husika ilishapangwa zamani tu. Wala haifanyiki kunipinga mimi wala kuelezea maamuzi ya Kamati Kuu. Vijana hawa 'niliowatuma' wanaharibu kabisa badala ya kunilinda.

Tatu, kwa ziara hiyo ya Dr.Slaa kuchorwa kuwa ina wingu na kumbe ni uwongo mtupu,mimi kama Zitto naonekana kuwa si maarufu kuliko chama. Naonekana kama wakawaida sana na chama kitasonga hata kama nitafukuzwa kabisa. Kigoma imekataa kuongopewa juu yangu. Sasa imejua kuwa taratibu za chama zinafuatwa.

Nne, ningewakoromea wana-CCM wote wanaojipambanua kama wapiganaji wangu. Mimi Zitto si CCM.Mimi ni CHADEMA.Kwanini wanishabikie hivi? Kukaa kimya kwangu bila mkwara wowote kwa 'mamluki' wa CCM hasa wale waliofukuzwa CHADEMA ni kukubali kuwa nahusika nao na yasemwayo ni kweli.

Tano, ningesubiri taratibu za chama zifuatwe ili nijue hatima yangu. Mambo yatakwenda vyema tu kichama.Ningeamini hivyo toka mwanzo hadi mwisho.
Unaweza kuthibitisha kuwa ZZK ndio anawatuma hao watu kuandamana? acheni ukarume kenge mlidhani mtamnyanyasa zitto watu wakatulia no hiyo ndio nguvu ya umma tunataka siasa safi na demokrasia otherwise ipelekeni CHADEMA FAMILY yenu kwa MTEI. Mlichokianzisha mtakinywa na kukimeza japo kichungu sana.
 
K

kikule

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
217
Likes
30
Points
45
K

kikule

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
217 30 45
zzk ni janga la taifa,eti naye anamuenzi madiba! shame on him! madiba hakuwa mbumbumbu kama zzk
 
VUTA-NKUVUTE

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
5,988
Likes
7,898
Points
280
VUTA-NKUVUTE

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
5,988 7,898 280
Unaweza kuthibitisha kuwa ZZK ndio anawatuma hao watu kuandamana? acheni ukarume kenge mlidhani mtamnyanyasa zitto watu wakatulia no hiyo ndio nguvu ya umma tunataka siasa safi na demokrasia otherwise ipelekeni CHADEMA FAMILY yenu kwa MTEI. Mlichokianzisha mtakinywa na kukimeza japo kichungu sana.
Unajua nani anahusika na mambo ya sasa ya Kigoma? Tafakari........chukua hatua
 
PhD

PhD

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2009
Messages
3,895
Likes
1,045
Points
280
PhD

PhD

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2009
3,895 1,045 280
Unajua nani anahusika na mambo ya sasa ya Kigoma? Tafakari........chukua hatua
kihele hele cha SLAA ndio tatizo , mtaendelea kula RUZUKU lakini kamwe IKULU hamtaisikia
 
VUTA-NKUVUTE

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
5,988
Likes
7,898
Points
280
VUTA-NKUVUTE

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
5,988 7,898 280
kihele hele cha SLAA ndio tatizo , mtaendelea kula RUZUKU lakini kamwe IKULU hamtaisikia
Hata wewe PhD unayoiota hautaipata kamwe.MaCCM karibu yote hayajui kuandika wala kusoma vyema.Ndiyo nini sasa kuandika 'kihele hele'? Sema kiherehere.Bure kabisa!
 
Last edited by a moderator:
PhD

PhD

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2009
Messages
3,895
Likes
1,045
Points
280
PhD

PhD

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2009
3,895 1,045 280
Hata wewe PhD unayoiota hautaipata kamwe.MaCCM karibu yote hayajui kuandika wala kusoma vyema.Ndiyo nini sasa kuandika 'kihele hele'? Sema kiherehere.Bure kabisa!
wacha kiherehere subiri 2015 mpate wabunge wawili, ruzuku ibaki milioni moja kama mtabaki kumsifia slaa tena , ruzuku yote itakuwa ni ada ya juniour slaa hapo ndo mtasema siri zenu zote , no more pay kwa umbea.
 
A

AdamAdam

Member
Joined
Dec 4, 2013
Messages
39
Likes
0
Points
0
Age
39
A

AdamAdam

Member
Joined Dec 4, 2013
39 0 0
Binafsi nilikipenda sana chadema sio kwa ajir ya slaa au zito ila sela zake lakin sasa ninachokiona ni kwamba chadema hakina viongozi kina matahira na wengi wao wameugua degedege.
 
Status
Not open for further replies.

Forum statistics

Threads 1,274,604
Members 490,741
Posts 30,517,708