Ningekuwa Usalama wa Taifa, kauli ya Godwin Gondwe ingenituma nichunguze kifo cha Isack Gamba

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,368
Ni muda wa kazi nikiwa kwenye foreni ya kumuona mkuu wa wilaya flan nchini Tanzania,nmejikuta naamua kufatilia kauli walizozitoa watu mbalimbali katika tukio la kumuaga Isack Gamba.

Katika ili lazima nisime ukweli,siku ya jana niliitumia kuungana na mkuu wa Mkoa wa Mwanza kumuaga ndgu yetu Isack Gamba mkoani mwanza kuelekea Bunda kwa ajili ya kumaliza safari yake ya mwisho Duniani.

Wakati nikipitia kauli mbalimbali za viongozi,leo nikapata kumsikia Mh Mkuu wa Wilaya ya Handeni ndugu yetu Godwini Gondwe, hakika Mh huyu amekomaa sanaa katika utoaji wa hutuba mbalimbali ni mtu anae jua aseme nn na lini na wap?

Mh mkuu wa Wilaya moja ya kauli zake, anadai kuwa Isack Gamba aliwai kutekwa maeneo ya salenda jijini Dsm na alipo achiwa anilimpigia simu ili aje amuokoe, Gondwe anamtaja mkewe kuwa alimruhusu saaa nane amfate Isack na alimfata akmpeleka hosptal kumtibu,alipona na anadai watekaji walitaka hasiende Huko marekani.

Sawa alitekwa akaachiwa akatibiwa,akapona na akaenda Marekani leo anarudi amekuf tena ghafla kwa nn UsalamA wa taifa msiamzie hapo?
 
Mmmh Marekani?
 
Nadhani alifanyiwa autopsy huko ujerumani. Ni kutokana na kifo chenyewe kuwa cha ghafla. Kabla hatujaanza kumtafuta mchawi, tuambie Hiyo report ya hospital kuna alieiona? Inasema chanzo cha kifo ni nini?

Unadhani waajiri wake hawakufanya uchunguzi kwa kupoteza mfanyakazi wao?
 
Kumbe Gamba kafia "MAREKANI"!!!!!
 
Nadhani alifanyiwa autopsy huko ujerumani. Ni kutokana na kifo chenyewe kuwa cha ghafla. Kabla hatujaanza kumtafuta mchawi, tuambie Hiyo report ya hospital kuna alieiona? Inasema chanzo cha kifo ni nini?

Unadhani waajiri wake hawakufanya uchunguzi kwa kupoteza mfanyakazi wao?
Wamesema ni pressure kwenye ubongo hadi damu ikivilia huko ubongoni
 
Siasa zina gharama yake, hii ni pamoja na migogoro ya kijamii kama dhuluma na dhuluma za kimapenzi.

Mi siamini kama mtu haujihusishi na siasa, unaishi kiungwana pasipo kudhulumu watu fedha zao,kuwakosea au kuwadhulumu kimapenzi kama kuwachukulia wake n.k kama utakuja kutekwa!
 
Jamaa hana mtoto, kwenye dhuluma kwenye mapenzi mtoe
 
Siasa zina gharama yake, hii ni pamoja na migogoro ya kijamii kama dhuluma na dhuluma za kimapenzi.

Mi siamini kama mtu haujihusishi na siasa, unaishi kiungwana pasipo kudhulumu watu fedha zao,kuwakosea au kuwadhulumu kimapenzi kama kuwachukulia wake n.k kama utakuja kutekwa!
Mo alikuwa anajihusisha na suasa gani kwa sasa ?!
 
Siasa zina gharama yake, hii ni pamoja na migogoro ya kijamii kama dhuluma na dhuluma za kimapenzi.

Mi siamini kama mtu haujihusishi na siasa, unaishi kiungwana pasipo kudhulumu watu fedha zao,kuwakosea au kuwadhulumu kimapenzi kama kuwachukulia wake n.k kama utakuja kutekwa!
Ebu ruhusu ubongo wako uwaze zaidi ya hapo. Fikiria nje ya box kidogo, akili iwe huru naamini utapata sababu nyingi zaidi zinazoweza kupelekea tukio kama hilo kutokea
 
Labda ushushushu, nayo ni gharama yake mambo kama hayo(Kuuawa,Harassment n.k). Shushushu ni mpiganaji aliye vitani masaa yote ya uhai wake labda aache ushushushu.
 
Back
Top Bottom