Ningekuwa Saed Kubenea, ningewalipua watuhumiwa wa Escrow kupitia Stanbic wiki hii ya lala salama

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,013
144,371
Nasema ningekuwa mimi ndio Kubenea, ningewalipu kwa kuwataja hadharani wale wote waliokwapua mabilioni ya Escrow kupitia Bank ya Stanbic na wala nisingesubiri kuingia Bungeni kwanza.

Hawa wenzetu propaganda zao zimevuka mipaka na kwakweli zinakera mno na kuudhi hivyo sio wa kucheka nao hata kidogo ni kuwalipua bila huruma pale inapowezekana.
 
Hawana ubavu huo mana mafisadi wa Escrow wengine wako Chadema. Chadema iliyokuwa kiboko ya mafisadi leo imegeuka kuwa kimbilio la mafisadi.
 
Nasema ningekuwa mimi ndio Kubenea, ningewalipu kwa kuwataja hadharani wale wote waliokwapua mabilioni ya Escrow kupitia Bank ya Stanbic na wala nisingesubiri kuingia Bungeni kwanza.

Hawa wenzetu propaganda zao zimevuka mipaka na kwakweli zinakera mno na kuudhi hivyo sio wa kucheka nao hata kidogo ni kuwalipua bila huruma pale inapowezekana.

Ndio ujiulize, kwanini hawalipuliwi?
 
Back
Top Bottom