Ningekuwa Rais wa nchi nisingeruhusu Tundu Lissu akanyage ardhi ya nchi tena

Naomba niwe mkweli tu, Binadamu yeyote huwa anakipindi cha ukomo katika uvumilivu especially kipindi ambacho unaemvumilia una lolote la kumfanya kuondoa karaha anayokupatia.

Hakuna kipindi kibaya kwenye maisha ya mwanadamu kuona wewe ndio unaendamwa kwa matusi mazito kwa jambo unaloliamini na ambalo limekuwa ni kilio cha walio wengi kwa miongo kadhaa.Hapa nazungumzia rasilimali zetu

Ninachokiona kwa Tundu Lissu kwa sasa ni kuwa na personal attack kwa Rais Magufuli na si kulipigania taifa hili kama ambavyo anatuaminisha kwa maandiko yake kadhaa juu ya accacia na rasilimali zetu.Hivi lissu wewe kama kweli ni mzalendo wa taifa hili mbona hatujawahi kukuona hata siku moja ukizungumzia mabaya ya ACCACIA au hata kuishauri Serikali namna ya kupambana na hawa accacia kipindi ambacho unaona tumekosea??? Na ikitokea ukashauri mambo mema bila kutukana matusi na nchi hii ikafanikiwa pitia ushauri wako hivi hauoni vizazi na vizazi vitakuja kukushukuru?

Umekuwa ni mtu wa kuegemea upande mmoja tu wa kuombea sisi tudaiwe fidia au kushindwa kwenye hizo kesi.

Kwa hizo rasilimali magufuli anazozipigania umemuona kaziamisha mahali zilipo kapeleka chato?

Na kwanini kila unapoongelea jambo juu magufuli mpaka utangulize matusi?

Nakuambia mimi ningekuwa ni Rais wa nchi hii nisingeruhusu urudi hapa nchini maana kwako taasisi ya urais unachukulia simple sana na kama kweli unavyotuamisha ya kuwa Magufuli ashauriki, leo hii nchi hii isingekuwa hapa tulipo.

Mfano mdogo haijawahi tokea Serikali yoyote toka awamu ya Nyerere ikaweza kutekereza miradi mikubwa kwa pesa za walipa kodi isipokuwa ni Serikali hii ya Magufuli tu,uchumi wa awamu hii huwezi fananisha na uchumi wa awamu ya JK.

Hiki ndio kiashiria namba moja cha Rais Magufuli anashaurika na wanaomshauri. Sasa na wewe jitokeze shauri vizuri tena adharani bila matusi na ikitokea ushauri wako ukafanyiwa kazi ukaleta positive impact you will a hero of this country na si Magufuli tena.

A smart guy ni yule anaetoka hadharani na kusema hapa Serikali mmekosea mlitakiwa mfanye hivi na hivi ila kwa sababu mmeisha kosea basi fanyeni hivi na hivi muweze kushinda hii kesi maana hizi ni rasilimali zetu sote na si za Magufuli.

Inawezekana accacia ndio wanaokutibu huko maana umekuwa mstari wa mbele kweli kuwatetea maana kwa vyovyote vile hata kama si wewe uliyewaita, possibly watakuwa wamejileta wenyewe kukuhudumia maana wewe ndio mtetezi wao kwa wizi wao hapa Tanzania.

Tulio smart tunaamini kabsa wewe wazungu wanakuandaa kwa jambo fulani. Hapa Belgium hautibiwi ni mazinga ombwe tu.
Una uelewa wa kiwango gani? Ni kama vile unaishi ulimwengu wa giza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana watu kama wewe kamwe asilani hawawezi kuwa raisi - ni wazi kutokana na maneno yao hawana akili ya kuwawezesha kuwa raisi!
 
na hakuna kipindi wastaafu wametaabika kwa kutolipwa mafao yao kama kipindi hiki cha makufuli,pesa zao zimepelekwa wapi mpaka wanataabika kiasi hicho?
 
Naomba niwe mkweli tu, Binadamu yeyote huwa anakipindi cha ukomo katika uvumilivu especially kipindi ambacho unaemvumilia una lolote la kumfanya kuondoa karaha anayokupatia.

Hakuna kipindi kibaya kwenye maisha ya mwanadamu kuona wewe ndio unaendamwa kwa matusi mazito kwa jambo unaloliamini na ambalo limekuwa ni kilio cha walio wengi kwa miongo kadhaa.Hapa nazungumzia rasilimali zetu

Ninachokiona kwa Tundu Lissu kwa sasa ni kuwa na personal attack kwa Rais Magufuli na si kulipigania taifa hili kama ambavyo anatuaminisha kwa maandiko yake kadhaa juu ya accacia na rasilimali zetu.Hivi lissu wewe kama kweli ni mzalendo wa taifa hili mbona hatujawahi kukuona hata siku moja ukizungumzia mabaya ya ACCACIA au hata kuishauri Serikali namna ya kupambana na hawa accacia kipindi ambacho unaona tumekosea??? Na ikitokea ukashauri mambo mema bila kutukana matusi na nchi hii ikafanikiwa pitia ushauri wako hivi hauoni vizazi na vizazi vitakuja kukushukuru?

Umekuwa ni mtu wa kuegemea upande mmoja tu wa kuombea sisi tudaiwe fidia au kushindwa kwenye hizo kesi.

Kwa hizo rasilimali magufuli anazozipigania umemuona kaziamisha mahali zilipo kapeleka chato?

Na kwanini kila unapoongelea jambo juu magufuli mpaka utangulize matusi?

Nakuambia mimi ningekuwa ni Rais wa nchi hii nisingeruhusu urudi hapa nchini maana kwako taasisi ya urais unachukulia simple sana na kama kweli unavyotuamisha ya kuwa Magufuli ashauriki, leo hii nchi hii isingekuwa hapa tulipo.

Mfano mdogo haijawahi tokea Serikali yoyote toka awamu ya Nyerere ikaweza kutekereza miradi mikubwa kwa pesa za walipa kodi isipokuwa ni Serikali hii ya Magufuli tu,uchumi wa awamu hii huwezi fananisha na uchumi wa awamu ya JK.

Hiki ndio kiashiria namba moja cha Rais Magufuli anashaurika na wanaomshauri. Sasa na wewe jitokeze shauri vizuri tena adharani bila matusi na ikitokea ushauri wako ukafanyiwa kazi ukaleta positive impact you will a hero of this country na si Magufuli tena.

A smart guy ni yule anaetoka hadharani na kusema hapa Serikali mmekosea mlitakiwa mfanye hivi na hivi ila kwa sababu mmeisha kosea basi fanyeni hivi na hivi muweze kushinda hii kesi maana hizi ni rasilimali zetu sote na si za Magufuli.

Inawezekana accacia ndio wanaokutibu huko maana umekuwa mstari wa mbele kweli kuwatetea maana kwa vyovyote vile hata kama si wewe uliyewaita, possibly watakuwa wamejileta wenyewe kukuhudumia maana wewe ndio mtetezi wao kwa wizi wao hapa Tanzania.

Tulio smart tunaamini kabsa wewe wazungu wanakuandaa kwa jambo fulani. Hapa Belgium hautibiwi ni mazinga ombwe tu.
ndo maana siyo raisi wa nchi hii na hutopata bahati hiyo japo unaroho mbaya zaidi ya jiwe na bashite
 
Hii nchi inaongozwa na katiba na sio mihemko kama raisi anakerwa aende mahakamani kupinga lisu asikanyage hapa uone kama inawezekana
 
Huwezi kuwa pumbavu kama wew??Unafikir nchi ni mali ya rais
 
Nakuunga mkono mkuu. Inaudhi na kukera mno.

Kazi yetu iwe kumuombea JPM na team yake waendelee kulitetea Taifa kwa ujumla wake.

Maadui niwengi kina Lisu & Co.
Eti unampiga risasi za kutosha mtu kiongozi wa wananchi, kisha Mungu anazuia kwa muujiza asife unaona haitoshi unamtangaza kuwa ni adui wa taifa! Yaani wewe huna tofauti na nguruwe. Hata shetani lazima akushangae umejifunzia wapi ukenge wa kiasi hicho?
 
Naomba niwe mkweli tu, Binadamu yeyote huwa anakipindi cha ukomo katika uvumilivu especially kipindi ambacho unaemvumilia una lolote la kumfanya kuondoa karaha anayokupatia.

Hakuna kipindi kibaya kwenye maisha ya mwanadamu kuona wewe ndio unaendamwa kwa matusi mazito kwa jambo unaloliamini na ambalo limekuwa ni kilio cha walio wengi kwa miongo kadhaa.Hapa nazungumzia rasilimali zetu

Ninachokiona kwa Tundu Lissu kwa sasa ni kuwa na personal attack kwa Rais Magufuli na si kulipigania taifa hili kama ambavyo anatuaminisha kwa maandiko yake kadhaa juu ya accacia na rasilimali zetu.Hivi lissu wewe kama kweli ni mzalendo wa taifa hili mbona hatujawahi kukuona hata siku moja ukizungumzia mabaya ya ACCACIA au hata kuishauri Serikali namna ya kupambana na hawa accacia kipindi ambacho unaona tumekosea??? Na ikitokea ukashauri mambo mema bila kutukana matusi na nchi hii ikafanikiwa pitia ushauri wako hivi hauoni vizazi na vizazi vitakuja kukushukuru?

Umekuwa ni mtu wa kuegemea upande mmoja tu wa kuombea sisi tudaiwe fidia au kushindwa kwenye hizo kesi.

Kwa hizo rasilimali magufuli anazozipigania umemuona kaziamisha mahali zilipo kapeleka chato?

Na kwanini kila unapoongelea jambo juu magufuli mpaka utangulize matusi?

Nakuambia mimi ningekuwa ni Rais wa nchi hii nisingeruhusu urudi hapa nchini maana kwako taasisi ya urais unachukulia simple sana na kama kweli unavyotuamisha ya kuwa Magufuli ashauriki, leo hii nchi hii isingekuwa hapa tulipo.

Mfano mdogo haijawahi tokea Serikali yoyote toka awamu ya Nyerere ikaweza kutekereza miradi mikubwa kwa pesa za walipa kodi isipokuwa ni Serikali hii ya Magufuli tu,uchumi wa awamu hii huwezi fananisha na uchumi wa awamu ya JK.

Hiki ndio kiashiria namba moja cha Rais Magufuli anashaurika na wanaomshauri. Sasa na wewe jitokeze shauri vizuri tena adharani bila matusi na ikitokea ushauri wako ukafanyiwa kazi ukaleta positive impact you will a hero of this country na si Magufuli tena.

A smart guy ni yule anaetoka hadharani na kusema hapa Serikali mmekosea mlitakiwa mfanye hivi na hivi ila kwa sababu mmeisha kosea basi fanyeni hivi na hivi muweze kushinda hii kesi maana hizi ni rasilimali zetu sote na si za Magufuli.

Inawezekana accacia ndio wanaokutibu huko maana umekuwa mstari wa mbele kweli kuwatetea maana kwa vyovyote vile hata kama si wewe uliyewaita, possibly watakuwa wamejileta wenyewe kukuhudumia maana wewe ndio mtetezi wao kwa wizi wao hapa Tanzania.

Tulio smart tunaamini kabsa wewe wazungu wanakuandaa kwa jambo fulani. Hapa Belgium hautibiwi ni mazinga ombwe tu.
Hii nchi yetu sote! Hakuna aliye na hati miliki ya ardhi yote ya nchi hii!!
 
Ndiyo maana huwezi kuwa rais
 
Hakuna kipindi kibaya kwenye maisha ya mwanadamu kuona wewe ndio unaendamwa kwa matusi mazito kwa jambo unaloliamini na ambalo limekuwa ni kilio cha walio wengi kwa miongo kadhaa.Hapa nazungumzia rasilimali zetu

Mbona hili lingekuwa rahisi sana kulitimiza bila ya hizo njia unazohimiza ziendelee kufanywa kunyamazisha hao usiowataka wewe.

Unapofanya mazuri yanayopendwa na watu (wote?) kama unavyosema wewe, huna sababu yoyote ya kuwa na wasiwasi na hizo kelele za wendawazimu wachache. Waache wapayuke mpaka nguvu ziwaishe, huku wewe ukiendelea kuchanja mbuga ukifanya mazuri yanayopendwa na wananchi.

Shida ipo wapi hata uwawinde hadi utake kuwaondoa roho za hao wabaya wako, kitu ambacho kitakuondolea heshima na kuzidi kuwapa msukumo wa kuendelea kukuzodoa ili usifanikiwe katika juhudi zako?

Sababu kuu ya kutaka kukandamiza watu wengine ni kushindwa kwako kuwa na njia bora za kuyafanya hayo unayotaka yafanyike. Ni udhaifu wa uongozi.
Mtu anayependa kulazimisha badala ya kushawishi, huyo sio kiongozi mzuri.
 
Back
Top Bottom