Ningekuwa Rais wa Kenya nisingetoa ufadhili wa masomo tena kwa madaktari

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,655
Kusema ukweli wa Afrika ni watu wa ajabu tuna thamini pesa kuliko utu madaktari wa kenya wamemaliza mgomo baada ya siku mia wamepelekea vifo vya watu wasio kuwa na hatia kama mimi ningekuwa Rais wa Kenya basi ningefuta kabisa ufadhili wa masomo kwa ajili ya vijana wanao somea udaktari hili wajisomeshe wenyewe
 
Hata Baba Jesika anatamani kuwa Inspector General of Police(IGP) akisahau ya kwamba yeye ndiye Amiri Jeshi Mkuu na ndiye anamteua IGP! MADAKTARI wa Kenya sio wanafiki na hawaombi fedha kwa wagonjwa kama ilivyozoeleka huko Tanzania. Haki huwa haiombwi bali ikibidi inadaiwa kwa nguvu. Ndio maana waligoma kwa siku 100 na hawakulipwa mishahara. Watanzania ni wanafiki Mara 100. Walimu waligoma wakatishiwa wakakalia mkia na kuufyata matokeo yake wako kwenye mgomo baridi wa kujifanya kufundisha wakati hawafundishi, kwa wale wanaojua hesabu "the quality of education is directly proportional to the teachers take home" kwa wale wa elimu ya UPE: ni kwamba ubora wa elimu una uhusiano wa moja kwa moja na mshahara wa mwalimu. Wanaendelea kujifanya wanafundisha ila hawaoni haya matokeo mabaya. Madktari wa Tanzania waligoma je mnamkumbuka Dr. Ulimboka sijui aliishia wapi alibondwa Mwabepande wee na Baba Mwanaisha akasema hataweza kuwalipa na hata thumni hakuwaongezea hadi leo hii wanajifanya kutibu watu wakiwa na vifaa duni na mishahara duni ila wamekuwa wauaji badala ya kutoa huduma ya utabibu. Big up to Kenyan Doctors hawa wabongo waende Kenya wakajifunze. Kama kusoma hawajui hata picha kwenye CITIZEN TV hawawezi kuangalia. Mgomo wa Kenya umewapatia wengi elimu hapa Afrika Mashariki if not kwa Africa nzima. Tuendelee kushangilia mabadiliko ya katiba ya CCM ambayo yamefanywa kinyume cha katiba ya CCM tena under duress! Kumbe hiyo ndio kusoma namba in its full capacity? CCM juuu! Juu zaidi!
 
Wananchi wa Kenya wengi wao wanajitambua ! Siyo Watu wa kutishwa na kupelekeshwa kama huku kwetu! Nawapenda sana wakenya ni Watu wenye misimamo na wasiyopenda unafiki ! Nazani kuna mengi ya kujifunza toka kwa jirani yetu Kenya! Na umoja ni Nguvu I loves Kenyans!
 
Kusema ukweli wa Afrika ni watu wa ajabu tuna thamini pesa kuliko utu madaktari wa kenya wamemaliza mgomo baada ya siku mia wamepelekea vifo vya watu wasio kuwa na hatia kama mimi ningekuwa Rais wa Kenya basi ningefuta kabisa ufadhili wa masomo kwa ajili ya vijana wanao somea udaktari hili wajisomeshe wenyewe
Dua ya mwewe na ndo maana haupo Kenya.
 
Hata Baba Jesika anatamani kuwa Inspector General of Police(IGP) akisahau ya kwamba yeye ndiye Amiri Jeshi Mkuu na ndiye anamteua IGP! MADAKTARI wa Kenya sio wanafiki na hawaombi fedha kwa wagonjwa kama ilivyozoeleka huko Tanzania. Haki huwa haiombwi bali ikibidi inadaiwa kwa nguvu. Ndio maana waligoma kwa siku 100 na hawakulipwa mishahara. Watanzania ni wanafiki Mara 100. Walimu waligoma wakatishiwa wakakalia mkia na kuufyata matokeo yake wako kwenye mgomo baridi wa kujifanya kufundisha wakati hawafundishi, kwa wale wanaojua hesabu "the quality of education is directly proportional to the teachers take home" kwa wale wa elimu ya UPE: ni kwamba ubora wa elimu una uhusiano wa moja kwa moja na mshahara wa mwalimu. Wanaendelea kujifanya wanafundisha ila hawaoni haya matokeo mabaya. Madktari wa Tanzania waligoma je mnamkumbuka Dr. Ulimboka sijui aliishia wapi alibondwa Mwabepande wee na Baba Mwanaisha akasema hataweza kuwalipa na hata thumni hakuwaongezea hadi leo hii wanajifanya kutibu watu wakiwa na vifaa duni na mishahara duni ila wamekuwa wauaji badala ya kutoa huduma ya utabibu. Big up to Kenyan Doctors hawa wabongo waende Kenya wakajifunze. Kama kusoma hawajui hata picha kwenye CITIZEN TV hawawezi kuangalia. Mgomo wa Kenya umewapatia wengi elimu hapa Afrika Mashariki if not kwa Africa nzima. Tuendelee kushangilia mabadiliko ya katiba ya CCM ambayo yamefanywa kinyume cha katiba ya CCM tena under duress! Kumbe hiyo ndio kusoma namba in its full capacity? CCM juuu! Juu zaidi!
Nailed
 
Pewa Safari baridi kwa bill yangu!!:p
 
Kuwa rais Kenya inabidi uwe mvumilivu sana na mwenye busara isiyo ya kawaida.
Mimi hapa mkenya ila naomba Wakenya wasithubutu kunipa urais hata siku moja maana ninajijua sio mvumilivu na sipendagi ujinga, kama mkinizingua nalala na nyie mbele kwa mbele pambavu.
Madaktari mnagoma siku 100 halafu niendelee kuwakenulia meno, tena nitaajiri madaktari kutoka mataifa yote na kutembeza kichapo kwa hawa wangu, sijaribiwiii
 
Mgomo ulikuwa wa Februari 2017. Madaktari wa Kenya 'walikaa ngumu' kama wanavopenda kusema. Ila tunaomba yasije yakajirudia tena. MK254, rais wa Kenya, tangia tupate katiba mpya, hana cha ziada anachoweza kufanya kando tu na kuwatishia waliogoma. Labda akiweza kutumia ile Kamati ya Afya bungeni. Hapo sasa ndo sitilesi huwa zinazidi. Ingekuwa ni wewe jombaa, hahaha :D. Uvumilivu na hekima kama ya spika wa zamani wa bunge, Kenneth Marende ndio vinahitajika tu.
 
'Constitution my foot' In Raila's words.
Najitoa ufahamu wa kutozingatia hiyo katiba, ila ndio maana nikasema siuwezi urais, wafanye wao wenye uwezo huo.
 
Bahati mbaya au nzuri ndio maana hukuwa raisi wa Kenya. Urais siyo ubabe ni busara na hekima
madaktari hawa si wazuri hata kidogo, ameongea vizuri sana maana madaktari kama hawa ambao hawana busara hata kidogo, wanajali matumbo tu, wanatetea daktari mharibifu halafu wanasahau wanauwa wangapi nyang'au hawa.
wao wakilala wakiamka ni pesa tu! wamesahau wamesomeshwa na haohao wananchi kwa kodi zao nyambafu hawa.....
 
Hata Baba Jesika anatamani kuwa Inspector General of Police(IGP) akisahau ya kwamba yeye ndiye Amiri Jeshi Mkuu na ndiye anamteua IGP! MADAKTARI wa Kenya sio wanafiki na hawaombi fedha kwa wagonjwa kama ilivyozoeleka huko Tanzania. Haki huwa haiombwi bali ikibidi inadaiwa kwa nguvu. Ndio maana waligoma kwa siku 100 na hawakulipwa mishahara. Watanzania ni wanafiki Mara 100. Walimu waligoma wakatishiwa wakakalia mkia na kuufyata matokeo yake wako kwenye mgomo baridi wa kujifanya kufundisha wakati hawafundishi, kwa wale wanaojua hesabu "the quality of education is directly proportional to the teachers take home" kwa wale wa elimu ya UPE: ni kwamba ubora wa elimu una uhusiano wa moja kwa moja na mshahara wa mwalimu. Wanaendelea kujifanya wanafundisha ila hawaoni haya matokeo mabaya. Madktari wa Tanzania waligoma je mnamkumbuka Dr. Ulimboka sijui aliishia wapi alibondwa Mwabepande wee na Baba Mwanaisha akasema hataweza kuwalipa na hata thumni hakuwaongezea hadi leo hii wanajifanya kutibu watu wakiwa na vifaa duni na mishahara duni ila wamekuwa wauaji badala ya kutoa huduma ya utabibu. Big up to Kenyan Doctors hawa wabongo waende Kenya wakajifunze. Kama kusoma hawajui hata picha kwenye CITIZEN TV hawawezi kuangalia. Mgomo wa Kenya umewapatia wengi elimu hapa Afrika Mashariki if not kwa Africa nzima. Tuendelee kushangilia mabadiliko ya katiba ya CCM ambayo yamefanywa kinyume cha katiba ya CCM tena under duress! Kumbe hiyo ndio kusoma namba in its full capacity? CCM juuu! Juu zaidi!

Una uhakika na unachoeleza?
Umewahi fika hospitali za Kenya. Sasa kwa taarifa yako rushwa iko juu kuliko unavyodhani. Halafu kuna moja ambalo mpaka kesho sijapata jibu, ni la madaktari kubaka wamama waliotoka kujifungua. Sasa sijui ni kwa LENGO gani, ni kushirikiana au nini??
 
Wewe ni hospitali gani ya Kenya umewahi fika ukashuhudia rushwa na wanawake kubakwa?
Wewe acheni propaganda. Kwani sasa kila kitu kuhusu Kenya ni mbovu tu?
 
Wanawake wabakwa baada ya kujifungua hospitalini Kenya
  • 19 Januari 2018
Sambaza habari hii Email Sambaza habari hii Facebook Sambaza habari hii Twitter Sambaza habari hii Whatsapp
Image copyrightAFP/GETTY
_99669852_gettyimages-52977723.jpg

Waziri wa afya nchini Kenya Dkt Cleopha Mailu ameamrisha uchunguzi kufanywa katika hospitali ya kitaifa ya Kenyatta baada ya wanawake waliojifungua kudai kwamba wanadhalilishwa kingono.

Taarifa zilizoenezwa kwenye mitandao zinadai kina mama waliojifungua wamekuwa wanashambuliwa na baadhi ya wafanyikazi wakati wakienda kwenye chumba cha watoto wachanga kuwanyonyesha watoto wao.

Chumba hicho cha watoto huwa ghorofa tofauti na wadi za wanawake waliojifungua.

Wasimamizi wa hospitali hiyo wamesema hawajapokea malalamiko yoyote.

Yote yalianza baada ya ujumbe kuandikwa aktika ukurasa wa Facebook kwa jina Buyer Beware ambao mara nyingi hutumiwa kuwatahadharisha wateja na wanunuzi wa bidhaa na huduma.

Ujumbe uliwatahadharisha kina mama wanaojifungulia katika hospitali hiyo kwamba wamo hatarini ya kudhalilishwa kingono na baadhi ya wafanyakazi wa hospitali hiyo.

Wanawake wengine walichangia na kudai wamewahi kudhalilishwa au jaribio kufanywa, au jamaa na marafiki zao wakadhalilishwa.

Wengi wanadai kina mama waliojifungua waliviziwa wakiwa njiani kuelekea chumba hicho cha kunyonyeshea watoto au wakirudi chumba chao baada ya kunyonyesha.

Baadhi ya wanaodaiwa kunyanyaswa kingono, ujumbe unasema, walitendewa kitendo hicho siku chache baada yao kujifungua kupitia upasuaji.

Waziri Mailu ameagiza uchunguzi wa dharura kufanyika na ripoti kamili kuwasilishwa kwake kufikia Jumatatu.

Afisa mkuu mtendaji wa hospitali hiyo Lily Koros amesema hakuna mwanamke hata mmoja aliyewahi kulalamika kwamba alidhalilishwa kingono hospitalini humo.

Amesema hospitali hiyo huwa chini ya uangalizi wa kamera za usalama (CCTV) wakati wowote na hakuna kisa hata kimoja kilichogunduliwa.

Amewataka walio na habari kupiga ripoti kwa maafisa wa hospitali au polisi.

Image copyrightAFP/GETTY
_99669854_gettyimages-491338697.jpg

Image captionWanawake 100 hujifungua kila siku hospitali ya Kenyatta
Hospitali ya taifa ya Kenyatta, Nairobi huwahudumia kina mama takriban 100 wanaojifungua kila siku.

Watoto waliozaliwa huwekwa chumbani ghorofa ya kwanza nao wanawake kwenye wodi za kujifungulia kwenye ghorofa ya chini.

Maswali sasa yameanza kuulizwa kuhusu muundo na mpangilio wa vyumba katika hospitali hiyo ambao huwalazimu kina mama waliojifungua kupanda ngazi au lifti kwenda kuwanyonyesha watoto wao, ikizingatiwa kwamba baadhi hujifungua kupitia upasuaji.

Maelezo zaidi kuhusu taarifa hii

Wanawake wadaiwa kubakwa baada ya kujifungua hospitalini Kenya
 
Back
Top Bottom