Ningekuwa rais, Tanzania ingekuwa hivi.......!

Hapo umewaza kidogo ila sita na pinda ni wanafki hawafai na hapo kwenye sheria na katiba muweke tundu lisu

6 siyo mnafiki kama inavyoweza kuonekana kirahisi. huwezi jua uzito wa zigo la mwenzio. unaweza pewa options kama za mlinzi wa kimakonde. unazikumbuka? uchiteme wala uchimumunye, ukikimbia nakupiga nchale na ukichimama nakukata panga. hapo ungefanyaje?
 
Back
Top Bottom