Ningekuwa rais, Tanzania ingekuwa hivi.......! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ningekuwa rais, Tanzania ingekuwa hivi.......!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mmasi, Nov 15, 2011.

 1. Mmasi

  Mmasi Senior Member

  #1
  Nov 15, 2011
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jf ama hakika nchi haitamaniki lkn kama ningekuwa rais mambo hangekuwa hv.[BARAZA LA MAWAZIRI].>Waziri mkuu-John Pombe Magufuli.>Waziri wa Fedha-Zitto Zuberi Kabwe.>Waziri wa katiba na sheria-Mnyika Ubungo.>Waziri wa ujenzi-Samwel sitta.>Waziri wa nishati na madini-Mizengo pinda.>waziri wa elimu-Freemani mbowe.Hawa wangetosha kuiongoza serikari.haya ww kama mwanchi ungenishauri je?
   
 2. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #2
  Nov 15, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Hivi unaridhishwa na utendaji kazi wa Pinda kama PM?
   
 3. B

  Baba Collins JF-Expert Member

  #3
  Nov 15, 2011
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 498
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mpe Sita wizara ya nishati na madini.
   
 4. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #4
  Nov 15, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,948
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  I hate baba riz
   
 5. K-killer

  K-killer Senior Member

  #5
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 143
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Pinda hana msimamo wala maamuzi,hafai kabisa tupa huko
   
 6. K-killer

  K-killer Senior Member

  #6
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 143
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Pinda hana msimamo wala maamuzi yakuamua kitu,tupa huko
   
 7. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #7
  Nov 15, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Elimu awe mbowe? hivi nani anajua elimu ya huyu jamaa....
   
 8. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #8
  Nov 15, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Hilo baraza nimelikubali. Mia
   
 9. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #9
  Nov 15, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  hivi kwanza we ndo unakuwa JK au??? na kama ni hivyo nachokushauri achiangazi wewe mwenyewe hufai
   
 10. Mmasi

  Mmasi Senior Member

  #10
  Nov 15, 2011
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  we chapaa acha hizo swaga ofcourse me ndo ningewaJk. Afu Dr.mrema angekuwa bodigadi au mpishi mkuu ikulu.
   
 11. Mmasi

  Mmasi Senior Member

  #11
  Nov 15, 2011
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  "AMANG'ANA MURA".asante mwananchi wangu kwa kukubali baraza langu.lkn sijawaza kuwaweka wakurya hata kwenye ubalozi wa nyumba mbili samahani mrura.
   
 12. Mmasi

  Mmasi Senior Member

  #12
  Nov 15, 2011
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  sana coz mi sina chama ni wanaharakati hence siwezi kumhate with no reason.hey mbona pm anaji2ma bt mafisadi ndo wamemzunguka.
   
 13. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #13
  Nov 15, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Hapo umewaza kidogo ila sita na pinda ni wanafki hawafai na hapo kwenye sheria na katiba muweke tundu lisu
   
 14. Mmasi

  Mmasi Senior Member

  #14
  Nov 15, 2011
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hawezi lakini wakumfikiria hapa kama mhe.pinda atashidwa ni-Edward Goyayi Lowassa & Ezekiel Wenje wanawezasana hawa hapa.
   
 15. Mmasi

  Mmasi Senior Member

  #15
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  cdm hamna wanafiki?
   
 16. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #16
  Nov 16, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  kama huta ng'atuka utakuwa hujafanya lolote maana we ni mzito(muoga)wa kutoa maamuzi yatakuwa yaleyale utasababisha watendaji kazi wako wengine wakulaumu
   
 17. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #17
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Hili Baraza bado kabisa, kwanza wamemsahau Seleli kuwekwa kwenye wizara ya Habari!
   
 18. H

  Hhm Member

  #18
  Nov 17, 2011
  Joined: Apr 28, 2010
  Messages: 69
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Sasa mkuu hivi kama mtu kawekwa hapo kuwa remoted unategemea atakuwa na maamuzi ??bora hata mara mia Edo alikuwa anasimamia maamuzi yake...angalia Makinda ni nini anachofanya pale mbele?? Yaani siyo siri hakuna mtu pale bungeni anakera watanzania kama huyu mama ...amepoteza sifa na heshma ya kiti alichokalia...ila tatizo ni nini mnafikiri KAWEKWA KWA MASLAHI YA CHAMA CHA KIJANI na siyo Taifa.
   
 19. a

  alpha5 JF-Expert Member

  #19
  Nov 17, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 209
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  unatatizo gani na wakurya wewe? walikuka cameroon nini??
   
 20. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #20
  Nov 17, 2011
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Tatizo la Pinda anataka aonekane mwema kwa CCM, JK na Watanzania kwa ujumla, kwahiyo hana mrengo......
   
Loading...