Ningekuwa P funk, Ningeipumzisha Mike aliyokuwa anaitumia Ngwair

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,674
Kwa heshima ya Mziki wake hapa nchini laiti ningekuwa P Funk (majani) ningeipumzisha Mike aliyokuwa anaitumia Ngwair kuingiza vocal zake pale Bongo Record

Ningetafuta site nzuri, Sanduku la kioo na kuiifadhi humo ili kila mwenye nia ya kutaka kuitazama na aje aitazame mike iliyoingiza Vocal ya Mikasi.

Vivyo hivyo ningekuwa Marco chali ningeipumzisha mike aliyokuwa anaitumia King Zilla(God zilla), Na kuipa heshima kubwa pale studio,

Watanzania tujifunze kutoa heshima kwa watu flani katika jamii yetu,
Tuwe na utaratibu wa kuifadhi history.

Ni jambo dogo ukilichukulia kwa juu juu lakini kama p funk majani atalitazama kwa Future basi litaleta maana kwa sababu kwa kuipa heshima Mike tu ya Ngwair,Huko miaka kenda inaweza kuuzwa kwa madolali ya kutosha.

Wazungu wameshatupita kwa hili.

Cc Zero IQ
 
Mimi ndio mimi hatuwezi kuwa pair so nageuka mac regan nawaambia ENDELEAAAA - Ngwair( 120)
Dis dot com kila siku kumdiss ngwair basi njoo chumbani uone demu wako ninavyomuhemea - Ngwair (Ball Player)
Kwa ajili ya short cut watu wanapata mkwanja ukiona na mabegi jua ndani yamejaa ganja - King Zilla.(Salasala)
Ni kama kuwa na case first degree murder king zilla in da house salasala we go harder nipo na TEXAS yes hes my brodda - King ZIlla(Kila siku)
 
Kwa kipindi hichi ambacho Pfunk ameacha mambo ya recording na kuhamia ktk fani nyingine sawa unaweza kuwa ushauri mzuri kwake kuutumia
 
Tutamkumbuka mwanachemba
IMG_3558.jpg
 
Kwa heshima ya Mziki wake hapa nchini laiti ningekuwa P Funk (majani) ningeipumzisha Mike aliyokuwa anaitumia Ngwair kuingiza vocal zake pale Bongo Record

Ningetafuta site nzuri, Sanduku la kioo na kuiifadhi humo ili kila mwenye nia ya kutaka kuitazama na aje aitazame mike iliyoingiza Vocal ya Mikasi.

Vivyo hivyo ningekuwa Marco chali ningeipumzisha mike aliyokuwa anaitumia King Zilla(God zilla), Na kuipa heshima kubwa pale studio,

Watanzania tujifunze kutoa heshima kwa watu flani katika jamii yetu,
Tuwe na utaratibu wa kuifadhi history.

Ni jambo dogo ukilichukulia kwa juu juu lakini kama p funk majani atalitazama kwa Future basi litaleta maana kwa sababu kwa kuipa heshima Mike tu ya Ngwair,Huko miaka kenda inaweza kuuzwa kwa madolali ya kutosha.

Wazungu wameshatupita kwa hili.

Cc Zero IQ
Ngwair alishatumia mic ngapi?
 
Hayo mamilioni ya madola ainunue Nani? Huyo Ngwair anajulikana wapi na wapo zaidi ya kwao Dodoma na Dar?
 
Back
Top Bottom