Ningekuwa ni Mwenyekiti wa CCM Taifa, kwa kuokoa muda, kuangalia ustawi wa chama na kutozalisha 'makundi', ningefanya haya upesi tu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,518
108,795
Kama GENTAMYCINE ningekuwa ni Mwenyekiti wa CCM Taifa baada ya huu 'Mchakato' mzima wa Kura za Maoni ambazo zimefanyika kwa Uwazi zaidi huku zikionyesha kabisa kuwa wana CCM ' wameamua ' bila ' Ngendembwe / Hila ' zozote katika Kikao cha Maamuzi cha mwisho cha ' Watia Nia ' kwa nafasi ya Ubunge basi ningeamua mara moja kuwa ' Walioongoza ' ndiyo Wagombee.

Na kama tena GENTAMYCINE ndiyo ningekuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa baada ya ' Kuwaonya ' wale ambao niliwapa ' Dhamana ' za Kuwa ama Wakuu wa Mikoa au Wilaya kuwa wasiende ' Kutia Nia ' kwakuwa bado nilikuwa nawahitaji katika Serikali yangu ' Tukufu ' na wakaenda kisha ' Wakatokota ' na ' Kuanguka ' vibaya nikiwa Rais tena sitowakumbuka hata kwa Nafasi za chini kabisa Kiutawala.

Kama Wewe unajijua ' Ulitia Nia ' hasa ya Ubunge na Kutokota na Uzi huu ' utakuchukiza ' nashauri hapo ulipo tafuta Sumu ya Panya Unywe Ufe!
 
Mkuu GENTAMYCINE kile kikosi kazi iliyofanya ile kazi nzuri iliyotukuka uliwafikishia ule mzigo wao.

Na mpaka muda huu natiririka na naserereka hapa Jamvini JamiiForums wamenitaarifu kuwa Mbuzi walishaliwa Jana na kwa Kuonyesha kuwa hiki Kikosi changu ninachokiaminia cha ' Kamati ya Roho Mbaya ' ndani ya CCM kinamaanisha kimeniambia tena kuwa japo Juzi na Jaza ' Bwege Nazi ' aliyeangukia ' Pua ' huko Baharini Jijini Dar es Salaama anatumia Watu na ' Ushawishi ' wake kwa ' Babaake ' ila hakuna atakachokipata.
 
Mkuu na Wewe hebu usinichoshe na usinipotezee muda tafadhali. Niwekee hapa hao unaosema wamepita lakini wana ' Makandokando ' yao nijue.
Sikuchoshi bro. Hivi mtu kama Nchambis mwenye tuhuma za ujangili anasimamaje kwenye jukwaa kuomba ubunge ilhali ni jangili mzoefu?
 
Sikuchoshi bro.hivi mtu kama Nchambis mwenye tuhuma za ujangili anasimamaje kwenye jukwaa kuomba ubunge ilhali ni jangili mzoefu?

Siku zingine unapokuwa unaongea pia uwe na Kumbukumbu la sivyo nitaanza Kukudharau nawe sawa? Kwa taarifa yako tu ni kwamba wapo wana CCM wengine tena si tu ni Majangili kama huyo sijui Nchambis wako, ila kuna wengine ni wamesababisha hadi Ndugu za Watu leo hawapo tena duniani kwa Ukatili na Roho Mbaya zao tu na wapo ambao huko walikokuwa nyuma ' Kidhamana ' wameiibia sana hii nchi. au leo huwajui?
 
Back
Top Bottom