Ningekuwa mtia x hapa nisingetia x, ningepapita tu, sujui wewe!

Inawezekana hiyo nguzo imemkuta jamani, tusimpe kama ga kiasi hicho wkt mtu ameplani hata kujenga nyumba, tena ya tofali imara, umeme umemkuta tu hapo.
Hata mimi hili ndilo wazo ninalolipa kipaumbele, kwa hali ya kawaida ni ngumu mtu kujenga eneo kama hilo
 
Hata mimi hili ndilo wazo ninalolipa kipaumbele, kwa hali ya kawaida ni ngumu mtu kujenga eneo kama hilo
Hapana, lazima uyajue maisha ya wote ndo ujaji. Kama hujawahi kuyaishi maisha fulani hutoweza kuyajaji vyema hakika. Utajaji kwa kile tu ukijuacho.
 
1483629125072-jpg.454686
 
Back
Top Bottom